NEW YORK (AP) — Donald Trump’s lawyers told a New York appellate court Monday that it’s impossible for him to post a bond covering the full amount of a $454 million civil fraud judgment while he appeals, suggesting the former president’s legal losses have put him in a serious cash crunch...
Nilidhani kuwa Gon yalikuwa magonjwa ya vijana wa zamani kabla ya Ukimwi na nilitegemea yalifutika kuanzia mwishoni mwa miaka ya 80. Enzi hizo vijana wanakuwa wanabeba akiba ya tetracycline (red+yellow) capsules kabla ya condom. Kumbe bado ipo>
Ulisema tuliletewa chakula cha mifugo - yaani uliunderate sana chakula kilicholetwa mwaka ule bila hata kuweka relative scale kuwa food technology ya wakati huo ilikuwa katika kiwango gani. Unasema tulikuwa treated kama wanyama wasiokuwa na thamani ya utu. Hilo ndilo tamko kubwa lililoko kwenye...
Mkapa alijenga nchi vizuri ikawa kwenye direction sahihi, akaja Kikwete na kuivuruga vuruga, kiasi kuwa Magufuli alipojaribu kuinyoosha tena ikawa tatizo kubwa, na mama huyu ndiye imekuwa taabu kabisa. Uongozi wa nchi huhitaji uthabiti na maono imara, siyo blah blah za kujaza pesa kwenye...
1. Inawezekana nimekopi picha tofauti ila njaa ywa mwaka 1974/75 ilkuwa imeikumba Afrika yote. Ni wakati ambapo elimu ya el-nino ilikuwa haijafahamika sawasawa, na ikajirudia tena mwaka 1984/85 bya ya cycle ya miaka kumi. Picj zilzooonyesha watu na mifugo ikifa njaa ilisambaa sana na kuelekea...
Saratani inatibiwa; inategemea imeshambulia sehemu gani ya mwili na imegnduliwa ikiwa katika ngazi gani. Nadhani saratani ngumu kutibiwa ni ile ya Ubongo, Mapafu na ya kongosho (pancreatic -kama sikukosea). Nyingine zote zinatibika zikingundulika mapema katika stage 1 au stage 2.
Halafu pia...
Tatizo kubwa kwetu ni kwamba tiba huanza baada ya ugonjwa kuwa umeshakomaa sana. Bado uwezo wetu wa kutambua magonjwa na kuyatibu yangali hayajakomaa hauridhishi. Halafu tatizo jingine nadhani vipimo vyetu vingi havijitoshelezi. Yaani dakatari anaweza kukupa dawa ya ugonjwa fulani kutokana na...
Njaa ya mwaka 1973/74 ilikuwa kali sana Afrika yote, siyo Tanzania tu; kwa hiyo Nyerere kufanya jitihada za kuwapatia raia wake chakula ulikuwa umauzi mzuri.
Halafu mahindi (ya aina yote) ni sehemu ya chakuka cha mifugo wakati wa Masika kwa wafugaji wa Marekani. Kwa hiyo siyo kuwa Ungawa wa...
Achana na kusambaza conspiracies. Wewe siyo source ya habari hizi, mwenye source mwenyewe ni Mabeyo na ameshazungumza hadharani , kwa hiyo usijipandikize kwenye habari usiyojua ukitegemea credit.
Yaani iwapo interview hii ungekuwa umeiskiliza peke yako, basi ndiyo hivyo gtena misinformation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.