Search results

  1. L

    Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Usalama barabarani wao wanaangalia magari tu. Barabara unakuta ina mashimo tena yale hatarishi lakini hawatoi taarifa hata huko TANROAD. Maana kama wao ni maafisa wa usalama barabarani wanatakiwa kuhakikisha hata barabara ziko katika usalama wa kuweza kutumiwa
  2. L

    Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Hata kama huna kosa lolote, usipowatoa lazima wakubambikizie, hawashindwi hata kukuwekea bangi kwenye gari waseme ni ya kwako kwa vile tuu hukutoa kitu. Na mimi nilishaapa nitamgongo mmoja. Ipo siku. Yaani wakiona gari tu wanakuwa kama machangudoa wameona mteja.
  3. L

    Swali hili nimeulizwa sana wakati wa kufanya mapenzi

    Akikuuliza hivyo jua unam boa tu hapo bed. Yaani hauna jipya kwake, maana nyingine ni kwamba kuna waliokwisha mpiga vizuri zaidi yako. Kwa kifupi jua uko na malaya
  4. L

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Halafu unataka kubwa kama nini, ushauri wa kumwingilia batamzinga yawezekana utakufaa, jaribu kumtafuta huyo jamaa akupe mbinu zaidi
  5. L

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    We dogo na wewe unatafuta matatizo, sasa unataka kubwa kwa ajili ya kufanyia nini? au kuna sehemu unataka ukafanye business ya hiyo kitu. Kama umepewe oda ya kuwa na kubwa its ok tafuta dawa, lakini kama ni kwa ajili ya kazi zake za kawaida............... MUNGU hakoseagi. Ridhika
  6. L

    Kosa la huyu mwanaume ni nini?

    Kosaliko kwa mkewe, huyu jamaa yuko poa kabisa, maana kakisifia kifaa analichokiona, lakini siyo kwamba alimsifia bali alimuuliza, SIKU HIZI UNANENEPA EHE!
  7. L

    Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

    Sasa huyu jamaa alitaka aseviweje? kama alikuwa anatoa vocha asipanic, inatakiwa ampongeze huyo dada kwa jinsi anavyothamini huduma anayotoa jamaa
  8. L

    Inakuwaje Demu wa rafiki yako anapokumezea mate na kutoa visingizio/sababu lukuki?

    Sidhani kama huyo msichana ana nia nzuri na nyie, aidha tayari ana magonjwa anataka asambaze. Ondoa kabisa wazo lolote la kuchapa ilale
  9. L

    utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

    Mi nikiipata SMS ya namna hiyo, nitadelay kumjibu nipate reaction yake zaidi, if she is serious or not
  10. L

    Ungekuwa wewe ungemfanya nini huyu mke?

    Nazimia, kama importation inafanyika asubuhi na mapema kiasi hicho!!!!!!!!!!!!!!
  11. L

    Mpiga debe wa CCM Kupitia Clouds FM Hoi!

    Kumbe ndo maana alikuwa anashadadia CCM kwa nguvu zote zile, aibu kwake, asubiri viti maalum i think watamconsider. Au wampe ukuu wa kituo cha polisi
  12. L

    Mtoto Kamtia Akili Baba'ke.

    Ama kweli, hii dunia kwa sasa ina mambo, yawezekana huyo mtoto kajibu hvyo kwa sababu ya nguvu ya umma
  13. L

    Sijui nieleweje hii sms.

    Habari yako dada, i think kati ya wasichana wenye wapenzi waaminifu wewe ni mmoja wapo. Kama huyo mchumba wako kaamua kukwambia wazi kiasi hicho, ina maana na yeye ilikuwa inamuumiza sana akitafakari hayo majaribio aliyokuwa akitaka kuyafanya. So u re luck to have a man of that kind. Amini...
Back
Top Bottom