Search results

  1. Myahudi Jr II

    Afrika Tumejiandaaje na Ujio wa AI?

    AI Africa?? Watu tunapotezq muda tu, huna umeme unawaza AI, tuwe serious aisee
  2. Myahudi Jr II

    Makonda sio wa kumpatia Mic, kuharibu ni dakika

    Bora Makonda mara 1000 kuliko wezi
  3. Myahudi Jr II

    Ahmedy Ally: Yanga Sc wamepiga simu Azam media kuwa wafute interview ya Fiston kalala Mayele

    Ila Yanga hakunaga mchezaji anaondokaga salama kama akipata dau la pesa nzuri.
  4. Myahudi Jr II

    scaffolding and formworks rental

    Hii biashara kwa TZ kisanga sana na watu hawako liable kwa loss, na hawataki interest, usije kurent kwa government company utaumia
  5. Myahudi Jr II

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Mzee kabla ya kubomoa umeshapewa "notice" siku 14 utoe kila kilicho chako, seems like walipuuza pia
  6. Myahudi Jr II

    Mungu hakupi unachotaka

    Mambo ni mengi
  7. Myahudi Jr II

    Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Wa-IRAN wanakimbia dini yao wanakimbilia kwa MAKAFIRI andhani hawana akili
  8. Myahudi Jr II

    Kabla hujakopa ama kukopeshwa na app za mitandaoni elewa yafuatayo

    Hivi nyie ndio mpewe Credit Card kweli, unakopa unamaliza shida yako unaanza kuona unaibiwa na mkopo
  9. Myahudi Jr II

    Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Miaka 5 kidogo sana Entry level ya mshahra hapa ni $50,000/year kwa Canada kama upo single sawa, kama una familia $24,000/year kwa nyumba pekee Maybe unasave $8000/year Nunua nymba NHC kwa morgage kisha unalipia na Uber hapo (hii nitaipiga)
  10. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Mimi naendelea vema, watanzania wa kuokoteza kama punje
  11. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Wengi sana wapo kama wewe hasira zinaishia kwa serikali, Nigerians wao lugha sio tatizo kwao ndio kinawabeba sana sisi tunaanza na mitaala ya kiswaahil
  12. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Mkuu mpesuluhishwa na "Mahdow" maana mliacha kutagiana
  13. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Kusoma kwa lugha sio ishu, kwani hukuona vipanga wa UDSM walivyogalagazwa na kijana mdogo wa mika 24 kwenye kutetea makinikia? Sio kwamba hawajui, LA! ila hawana lugha wana mfululizo wa A ambao hauna lugha, ila ukiwarudisha huku wana connect english words wanatema cheche
  14. Myahudi Jr II

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Wasalaamuu.... Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi. Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari"...
  15. Myahudi Jr II

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Hivi mnaosema nchi za Ulaya kodi nyingi kwani Tanzania mnaishi bure?? Hamna uhakika wa Umeme, Maji, shule bora na mengineyo na bado mnalipia je si zaidi nchi za watu ambazo utabakia na matumizi
  16. Myahudi Jr II

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Hawa wendawazimu hawajapigwa tu na Morocco. Yapigwe 5 mtungi
  17. Myahudi Jr II

    Video: Haya ndio maisha ya Ulaya kipindi cha baridi; hakuna kulala huku, ni mwendo wa kazi tu

    Asia ipi unazungumzia ambayo mtu anaweza kutoka bongo kwendea kuishi?
Back
Top Bottom