Search results

  1. Kitabu

    Jinsi ya ku instal Canon IR 2204 kwenye pc yenye window 10 pro 64 bit

    Nahitaji msaada wenu tafadhali, nimejaribu mara kadhaa ku install ir 2204 kwenye pc lakini ikifikia hatua ya kuunganisha waya, inakaa muda mrefu halafu inaandika imeshindwa kutambua devise niliyounganisha, nifanyeje???
  2. Kitabu

    iPhone X yaondolewa kwenye Vifaa vya Apple vitakavyopokea iOS 17

    Naomba kujua, downloaded documents kutoka whatsapp zinapatikana wapi kwenye iphone
  3. Kitabu

    Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Lenzi mpya bei gani sokoni?
  4. Kitabu

    Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Duu…nipo Dar mkuu
  5. Kitabu

    Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
  6. Kitabu

    Inawezekana kupaka rangi ya maji juu ya rangi ya mafuta

    asante sana mkuu...barikiwa
  7. Kitabu

    Inawezekana kupaka rangi ya maji juu ya rangi ya mafuta

    Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki. Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...
  8. Kitabu

    Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

    Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
  9. Kitabu

    Mkataba wa DAWASA kwa mteja

    Habari wakuu, Ninahitaji sana mkata wa Dawasa unaohusu huduma kwa mteja,nimejaribu kutafuta kwenye website yao lakini nimekuta kurasa kumi tu na nyingine hawaja ziweka. Msaada tafadhali.
  10. Kitabu

    Naomba kuelimishwa kuhusu Money Maker pump

    Wadau naomba kuelimishwa kuhusu moneymaker Pump. Je, ina uwezo wa kusukuma maji umbali gani? Ubora wake ukilinganisha na hizi pump za laki tatu za Kariakoo? Naomba kujua na bei zake na wapi nitaipata kiurahisi kama nikiridhika kuwa ni bora zaidi.
  11. Kitabu

    Ubunifu wa mavazi

    Nilidhani itambidi aende veta na kusomea ufundi cherehani na mengineyo huko??
  12. Kitabu

    Ubunifu wa mavazi

    Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
  13. Kitabu

    Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    Sababu sio hii mkuu,na sio kwamba tuko nyuma kimaendeleo,soma maelezo haya ya Nyalotsi...... Kwenye lile zoezi la upimaji lilifanyika miaka ya nyuma kwa kila anayetaka kwenda iligundulika ASILIMIA 50 ya waliopimwa hawaendani na waliitwa ndo baba zao. Hivyo ikahofiwa kutatokea uvunjaji wa ndoa...
  14. Kitabu

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    elizabeth miraji, Ubarikiwe sana, asante kwa msaada wako
  15. Kitabu

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Naomba majibu tafadhali
  16. Kitabu

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Pia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijini
  17. Kitabu

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Habari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali, huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani, mahakama ikaamuru kikao cha ndugu...
Back
Top Bottom