Search results

  1. M

    Magufuli muongo sana, kodi ya wafanyakazi P.A.YE ni 18%, na sio 11%, uongo huu

    Great! Hii ndio formula halisi ya PAYE. Wengi hawaijui hii wanakalia tu mara 11%, mara 18%...PAYE maana yake kila kipato chako kinapoongezeka na kodi inaongezeka, na hii siyo VAT kama mmoja anavyotaka kumislead watu humu. Formula imeweka bands ambapo mshahara wa mtu ukivuka band moja basi...
  2. M

    Maji chumvi kwa sasa basi, tunatoa maji chumvi kuwa safi kabisa

    Hizo RO system zinafaa sana viwandani. Kwa mtu binafsi ni vigumu sana ku run na ku maintain. Ni delicate na expensive sana. Mbali ya kuwa na motors zinazotumia umeme mwingi tu, pia kuna parts kama filters zinazohitaji maintenance ya mara kwa mara na replacement. Kuna hiyo membrane filter ambapo...
  3. M

    Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Huyu tunamwita swaga. Naye ana spidi nzuri tu na sumu kali. Mara nyingi hukimbia watu, ila akikugonga ni ishu.
  4. M

    Kwa hili, STRABAG imewavua nguo macontractors feki wa kibongo

    Strabag gmbH ni kampuni ya kijerumani na makao yake makuu ni mjini Cologne North rhine westfalia. STRABAG International - Addresses Hizo nyingine ni branches tu.
  5. M

    Occupational Health and Safety Consultancy

    Mkuu uko accredited kutoa hizo environmental na assessment series?
  6. M

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Wakuu ni vizuri kupeana hamasa na kupeana moyo ila tuwe realistic! Ni kweli 40m inajenga nyumba na unahamia ila ni unfinished house. Hatua za mwanzo za kujenga boma hazitumii gharama kubwa sana lakini kimbembe kuanzia kupaua na finishing. Katika vitu ambavyo ni headache kwenye ujenzi basi...
  7. M

    Car4Sale Gari inauzwa (NISSAN NAVARA - 2005) almost new

    Mkuu kwanza hiyo siyo navara ni hardboard toleo la 2 kama sijakosea. Vipi kuhusu kodi umeshalipia? Vipi kuhusu status ya vibali vingine, maana naona windscreen iko plain. Pickup zinalipiwa mapato, vipi kuhusu hilo. Naomba majibu hapo mkuu.
  8. M

    Msaada: Natafuta fundi wa kuezeka bati Kibaha

    Weka picha ya roof tuione then tukushauri. Jitahidi kupiga kutoka angle tofauti.
  9. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Mtu kama huyu ndio anafaa kuongoza nchi hii. Wabongo mnapenda sana kudekadeka na kupetiwa petiwa. Muhongo hana hizo. Kwake yeye 1+1=2 period. Tunapoteza muda mwingi sana kubembelezana kwenye mambo ya kipuuzi. Huyu akipewa hii nchi atainyoosha.
  10. M

    Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    Au ndio imekwishwaanza kufanya kazi!!...."Karma" ni ya kuogopwa!!
  11. M

    When We Were Leaders: Reflection of the Passing of Gen. Hashim Mbita

    Kilichotukimbiza hapo ni huyo malkia Elizabeth.
  12. M

    2001 Nissan X-Trail

    Huna simu?
  13. M

    Lenovo tablet for sale

    How is chengdu mkuu!
  14. M

    vocha airtel switch on kwa 10,000

    Data network ya airtel sasa hivi ni OVYO KABISA.
  15. M

    Kipanya kama kawaida yake

    Si lazima wote tuelewe sawa. Nilichoelewa mimi ni kuwa hapo kuna "show" ya urais ama wagombea urais. Na hao wanaoangalia ni wananchi, yaani wanacheki show. Kwamba kila mtu anajigamba kuutaka urais na mizengwe inayohusu huo urais hiyo ndiyo show yenyewe tunayoangalia. Na hao jamaa wanaokodolea...
  16. M

    Wakandarasi wazalendo, hongera kwa kazi nzuri Daraja la Mbutu

    Hilo ni Culvert sio daraja. Profesa mmoja wa CoET wakati anafanya PhD huko Ujerumani aliambiwa na Supervisor wake aje apige picha madaraja makubwa kama sehemu ya mafunzo. Ndio akaja kupiga ma Ruvu, Wami, et al. Supervisor akamwambia: "I have seen your culverts, now where are the bridges". So...
  17. M

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Mbona Mwandiko ni wa mtu mmoja!?
  18. M

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Mkuu Pasco, Na ukiangalia vizuri hasa ile picha ya kwanza ambayo binti kanga amejiegamiza kwenye chesti ya muhishimiwa, utajiridhisha "genuinecally bonafidecally" kuwa muhishimiwa ndiye aliyepiga hizo picha kwa kutumia "Selfie".
Back
Top Bottom