Lakini hilo tamko la Makonda ni LA kisiasa au huoni hilo? Ndio maana tunamponda mkurupukaji maarufu a.k.a Makonde. Hana hata moja analokuja nalo lenye tija ila kukurupuka. Sitoshangaa akipewa cheo zaidi kwakuwa awamu hii imejaa maigizo kutoka juu mpaka chini
Inaonesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo chini pale unaposhangilia kitu bila hata tathmini. Mabasi ni ya nani? Kodi zimepunguzwa? Walimu bure wanafunzi walipe huoni ni ujuha? Wewe ni mtanzania halisi kwa kuwa IQ yako uko chini mno
we inakuuma nini chadema kupoteza au ndio mambo ya usengerema? kwanini usiijadili Chama Cha Majambazi yako yalioyoiba kura kila kona? Acha unafiki kujifanya unaijadili chadema kinafikinafiki
#NAICHUKIACCMTOKAMOYONI
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa CCM ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga
I salute Mtatiro, usijali bado ni kijana mwaka 2020 jimbo utalipata kirahisi sana, ni matumaini Chadema itakuomba radhi na kumchukulia hatua yule dada aliyekuhujumu na kusababisha UKAWA tupoteze jimbo na mbunge makini.
CCM inachukiwa na nmamilioni ya Watanzania wala hilo halina kificho kabisa. Ndio maana hawataki tulinde kura zetu kwakuwa tabia ikiwa kama ngozi haijifichi hivyo wataiba kama kawaida YAO.
Mungu na atupe nguvu zaidi za kupambana na haya mashetani ili ile Tanzania Mungu aliyoipa neema ya kila kitu...
Njia ipi ya JF, unataka watu wampe heshima Mwanakiji ambaye kapoteza mvuto? Kanunuliwa na mafisadi CCM ambao miaka na miaka alikuwa anawapinga tukidhani ni mwenzetu kupigania haki kumbe naye ni msaka tonge. Binafsi nimemdharau kabisa namuona hana tofauti na wasaliti wa mapambano ya haki kama Dk...
Ni neno la unabii, tunamshukuru Mungu wetu wa mbinguni utawala wa mashetani unafikia tamati hapo kesho. Wao hudai CHADEMA ni chama cha kikristo huku wakidai tena CUF ni chama cha Waislamu. Hii ni kwasababu wao CCM hawaabudu Mungu bali wanaabudu SHETANI wa makafara ya maalbino. Tuwaondoe ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.