Search results

  1. V

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    Ok status yako hapo chini ya post yako inakuelezea wewe ni mtu wa namna gani.Tunasubiri yatakayojiri tutaamua
  2. V

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Na Ansbert Ngurumo Suala hili nililijadili jana katika mtandao wa wanabidii. Naomba nami niseme kidogo, nitoe maoni yangu kuhusu sakata hili na maoni ya Dk. Kitila Mkumbo anayoandika mtandaoni na gazetini. Nimekuwa namsoma Dk. Kitila Mkumbo katika mtandao huu na safu yake katika Raia...
  3. V

    Josephat Isango: CHADEMA iachane na uchonganishi unaofanywa kwenye mitandao

    [/PHP] Namimi niseme tu,wanachama na wapenzi wa chadema tumegeuka kushabikia,kusambaza taarifa hizi mbaya ambazo ukweli wa jambo hili bado hazijathibitika..Wahusika wamekana,chama kimekana sasa wale wanachadema mliokuwa kama kasuku katika kueneza taarifa hizi,kutoa mtandao mmoja kwenda mtandao...
  4. V

    Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood ni mfano wa kuigwa!

    Watu nyie ni wa ajabu badala ya kufurahia jamaa atakapo fanikisha ujenzi wa hospitali ,upatikanaji wa madawa na watumishi sambamba na upatikanaji wa vitendea kazi kunusuru maisha yenu mnafulahia jamaa anavyowazika kwa kuharakisha mazishi yenu tukiachana na ya Mungu vifo vingine vinazuilika...
  5. V

    Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

    Ha ha ha huyo dogo Nape hana ishu aendelee na kelele zake huku tembo wanaendelea kunywa maji.
  6. V

    When politics kills profession....another sad news

    By A JOINT REPORT Posted Saturday, July 14 2012 at 13:12 HUNDREDS OF doctors working in Tanzania government hospitals are leaving the country for greener pastures in other African countries after the government terminated their services over a strike. The Tanzania Medical Association says...
  7. V

    Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini, INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari 11 kati ya 33 wamefukuzwa na madaktari wote 70 waliokuwepo hospitali ya rufaa mbeya chini ya ulinzi...
  8. V

    Matamshi ya Pinda yanapoitwa makubaliano

    Huku habari za mgomo zikishika kasi na madaktari wakiwa wamejiandaa vilivyo nimeweza ona tangazo hili hapa chini Pia nimepata sehemu ya barua ambayo ndiyo imeitwa makubaliano na madakatari kwa hakika nimeshangazwa kwani nilijua serikali imekaa na madaktari kumbe imewaandikia kipande cha...
  9. V

    Nape Nnauye jipe moyo, macho mbele

    Samson Mwigamba MWALIMU Evarist Lukiko alinifundisha mwaka 1985 somo la Kiingereza. Alikuwa mwalimu mzuri sana wa somo hilo na mimi ni mmoja wa wanafunzi aliowapenda sana kwa kuwa nilikuwa naelewa haraka sana somo lake. Alikuwa ni mwalimu mcheshi sana lakini makini sana kwenye kazi...
  10. V

    Madaktari kukutana kesho kufanya tathmini ya makubaliano na serikali, kuna harufu ya mgomo kuendelea

    Heshima kwenu wanaJF, Wakuu kama mtakumbuka wakati mwenyekiti wa jumuia ya kuratibu mgomo wa madaktari Dr.Ulimboka alivyotangaza kwenye taarifa yake ikumbukwe alisema mgomo UMEAHIRISHWA na wala HAUJASITISHWA na kutoa nafasi kwa serikali kushugulikia madai ya madaktari ambayo yalikubaliwa na...
  11. V

    ANGALIZO Kwa CHADEMA: Kukaribiana na CCM Kisera ni hatari!

    Heshima mbele M.M Mwanakijiji Nimekuwa navutiwa na makala zako na kwa kweli hii pia hikuacha kunivutia kama zingine ambazo nimekuwa navutiwa nazo. Kwa hakika ni angalizo jema sana na ni makala ambayo pengine itawatoa watu kwenye ushabiki na kutazama zaidi sera na itikadi za vyama. Mimi...
  12. V

    Silinde katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA

    Naona mnajipanga zaidi ili mashambulizi yaendelee
  13. V

    CHADEMA yapiga kambi jimbo la Nyang'hwale kuisambaratisha CCM

    Kamanda jimbo la msalala la bure kabisa mmeliacha sana maige pale ameishia kuwagawia soda tu wananchi kama alivyofanya kipindi cha krismasi fikeni SEGESE pale mpige mambo na mmpe nguvu yule aliyekuwa mgombea diwani anahangaika peke yake ameibomoa CUF pale na sehemu ya ******* ila jimbo ni kubwa lile
  14. V

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Duh ama kweli nimeishia kuikumbuka hii kauli "KUICHAGUA CCM NI MAAFA" Dr.SLAA 2010 hapa hata ripoti ya uchunguzi ikitoka lazima ichakachuliwe
  15. V

    Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo

    sijui kwa kweli kaka.Mbona umeuliza?
  16. V

    Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo

    Huyu mwanaharakati anaeleza vizuri sana,ni mchambuzi mzuri wa sheria
  17. V

    Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo

    Mwenyekiti wa kamati ya kuratibu mgomo wa madaktari yuko live star tv kuzungumzia mgomo wa madaktari na mgogoro uliopo
  18. V

    Madaktari - tutakutana na waziri mkuu jumatatu

    TAARIFA MUHIMU: KULINGANA NA MAAZIMIO YA KIKAO CHAJUMUIYA YA MADAKTARI NA WAFANYAKAZI WA AFYA LEO TAREHE 28/01/2012, WANAJUMUIYA WOTE TUNAKUTANA TENA SIKU YA JUMATATU UKUMBI WA STARLIGHT HOTEL SAA TATU ASUBUHI. BARUA YA MAOMBI YA KUTUONA KESHO KUTOKA KWENYE OFISI YA WAZIRI MKUU IMETUFIKIA MIDA...
  19. V

    Nape haifahamu katiba ya CCM?

    Kwa hiyo hapa nape umemaliza kuji shutuma ,too low
Back
Top Bottom