that's Pointless!!! kama mtu amepatwa na matatizo au kapatwa na maswali alafu akarepresent kwa sehemu ambayo kuna watu anao amin watamsaidia haina maana eti ni madman au uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,uenda kunamtu miongon mwa ao watu walishawai kukutana,kusikia au hata kuyaona ayo so...
Sasa kama una magar cju majumba kunasababu yoyote wewe kujiexpose?kwa kuvitaja ivyo vitu alafu unasema eti kumbe watanzania ni wa al ya chn wapi ambako hakuna watu wa chini acha ulimbukeni wewe
Haina haja ya kucritisize wakati umuhimu kauona na ni yeye kaamua kutokana na msaada na fadhila hajalazimishwa basi ni kitu cha umuhimu kwake apewe tiki kwa kushukuru kwa njia mbadala shukuran ndio kila kitu bana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.