Search results

  1. M

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    First time 2004. Emirates from Dar to Atlanta USA via dubai and Gatwick. Nilisema kama ndege ndo zilivo mie basi. Na bado safari zangu zote ndani ya marekani zikawa kwa ndege. Atlanta Chicago. Chicago NY. Cleveland to cincinatti and back to atlanta. Then same route to Dar. Sikujua kama...
  2. M

    Exim bank tayari imeanza kutekeleza ongezeko la kodi ya thamani vat mwezi ujao

    When one Applies for a loan there is an application fee that he has to pay. At least for crdb I know they do that. So in this instance What are they going to charge the 18% against?
  3. M

    Exim bank tayari imeanza kutekeleza ongezeko la kodi ya thamani vat mwezi ujao

    Mh. Does this mean a single one million tshs transaction is to be accompanied by an additional 180,000 tax charged into ones account? If that is so then zitto had it correctly
  4. M

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Naona raisi kaamua na kuikumbuka shule aliyokua akifundisha. Sengerema. Huyo mkuu wa wilaya ya siha Huyo alikua head master pale kabla ya uteuzi huu. Amesoma chato secondary Huyo bwana na anatokea chato.
  5. M

    BET hawako fair

    Wema kiba diamond nk. Unajua washabiki wa hawa watu nI was aina gani? Ndio hao unaowaona wanaporomosha matusi kwenye pages za watu
  6. M

    Ushauri kwa wamiliki wa magari ya Moshi-Arusha

    Liverpool ya mwarabu mwenzao wanampa tafu. Utagundua hata za waarabu wa moro kama abood na Islam zote kituo Liverpool
  7. M

    Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    Hapo ndo wanaume wengi hupata ugumu wa kutumia mipira
  8. M

    Kati ya BBC Swahili na DW Kiswahili, ni ipi idhaa pendwa zaidi?

    BBCCM mmewasahau kipindi cha uchaguzi? Hovyo kbs
  9. M

    Rais Magufuli, fika huku SUA utusaidie kuondoa ukabila huu

    Yule dvc finance anaitwa matovelo. Nadhani jamaa ni fisadi maana tangu apate cheo hicho mhh hatari
  10. M

    POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

    Hadi sasa Kati ya responses 122 so far kuna B tano tu. 5/122 duh.
  11. M

    Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

    Mimi kwa mfano nimesajili jf kwa kila kitu fake. ID fake jina fake email address fake. Na Labda situmii simu yangu kabisa wala computer yangu wala situmii kompyuta inayohitaji ni login kwa utambulisho wangu mfano kompyuta za chuo. Mfano natumia Internet cafes tu. Watanishikaje?
  12. M

    Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

    Huwezi kamatwa kwa staili hiyo. Hiyo ndio njia pekee kwa tz. Labda kwa nchi zilizoendelea ambapo unakuta Labda Internet cafe ina cctv cameras then wanaweza ku retrieve picha za waliotumia computer husika katika siku husika na saa husika. Lakini kwa tz ukifanya hivyo watachemsha kukupata. Tena...
  13. M

    Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

    Sungwi. Dah wewe wa mwanza kbs au kokote usukumani. Umenikumbusha mbali.
  14. M

    Walaji wa Kambale Dar es Salaam poleni

    Mumi ni tofauti na hawa kambale. Hata kanda ya ziwa Kambale wapo mitoni kwenye tope na kwenye mabwaya ya vinyesi. Wale Mumi was ziwani ni tofauti
  15. M

    Tukiwaruhusu wanasiasa wakatugonganisha vichwa, Lulu yetu Magufuli tutaipoteza

    Ungebakia na upuuzi huu kichwani mwako ingekua vyema
Back
Top Bottom