Labda vijiji vya watu wavivu tu. Hebu niambie vijiji vya Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe Arusha na kwingineko watu wa vijijini ndiyo wamehamasika kuliko hata wa mjini. Fanya home work yako vizuri!
Mwanakijiji
Two names come in my mind Mark Reckless and Douglas Carswell tena hawa walijua kabisa kuwa Tories wanaenda kushinda ila wakaondoka ili yaliyomo moyoni yaweze kupewa nafasi. Si uliona immigration ilivyokuwa ni siisue kwenye uchaguzi baada ya labour kuifanya none issue kwa takribani...
Shoza
Mwache Mungu na usimtumie kwa mizaa kabisa. Kusema kuwa jambo fulani ni mpango wa Mungu ni wewe mwenyewe ulivyokuwa na imani na unavyojiamini. Nitakupa mfano mmoja na kama ukiuelewa tubu haraka kabla ya kupatwa na dhuruba ya ya unaye mkejeli!
Stefano alipopigwa mawe na kuuwawa na...
UKAWA ilikuwa ni idea nzuri ila siyo lazima, CJHADEMA wanaweza kwenda solo kama CCM. CCM imehakikisha kuwa inakuwa vigumu kwa vyama kuungana. 2010 CHADEMA ilipata kura nyingi kuliko za CCM ila haikupewa haki yake. Mwaka huu tatizo sio kura bali ni jinsi ya kuzirinda. Ngoja Magufuri mania iishe...
Ukawa ni muungano wa vyama vinne, kimoja kikitoka ukawa haifiki mwisho. Ukawa itafika mwisho tu ikiwa vyama vyote vitaamua kujitoa. Ukawa sio abbreviation ya hivyo vyama vinne kiasi kama kimoja kikiondoka basi vingine vinavyobaki kunakuwa hamna meaning. CUF pekee sio UKAWA na Chadema vile vile...
Mark my words!
They did not get 75% of the votes in the local elections rather they use money and power to run unopposed in many areas and still numbers does not add up to 75%. Till today Ministry for Local government have not come out with official numbers and percentage - almost a year...
Unajua utendaji wa Augustino Ramadhan. Alishakuwa judge Mkuu alishafanya nini? Kama huwezi ku manage taasisi utawezaje nchi. Kwa maoni yangu Augustino ndiye judge mkuu ovyo kuliko wote waliowahi kushika nafasi hiyo. Yes hali rushwa lakini ndiyo mwisho wake hapo.
Mwanakijiji,
Tafakari, ikiwa kama waliweza kuthubutu kusimamia jambo ambalo hata chama tawala hawakutegemea kuwa wangeweza kulisimamia wangeshindwaje hayo mengine. Ukiangalia kwa mawazo mapana sana utaona hofu ya watawala haikuwa kwenye serikali tatu au mbili ila hofu yao kubwa ilikuwa ni kuwa...
Mwanakijiji,
Ukiwa unaumba gari, kama engine ikfail basi nadhani utapoteza muda mwingi sana kuhakikisha kuwa unatatua hilo tatizo.Usukani na mataili na vitu vingine siyo kwamba sio muhimu ila vinafuata katika mtiririko wa umuhimu. Muundo wa serikali ulikuwa ni kipaumbele na kiliposhindikana...
Kama kweli pasco amesema hayo ni aibu kubwa sana kwake na kwa askofu mayala. Sijui kwa nini shetani anafuatikia sana kizazi cha watumishi. Ila kwa kifupi ni kwamba aliyewalinda Israel ndiye aliyemlinda pasco kwenye ajari ya piki piki Dom. It's the same God. Waisrel wangekuwa wiped na wewe...
Hivi jamani hakuna jambo tunaloweza kufanya kumshikisha adabu huyu jamaa. Maana naona sasa ametoka kwenye siasa na amekwenda kwenye personal kabisa. huyu itabidi tumtafutie raia wa Uk ili aandikishe petition ya kuwa huyu ni muhalifu ili tumuweke kwenye macho ya serikali ya Uk. Hasa issue ya...
Kwa sababu watu wengi hawawezi kutembea huku wakitafuna Big G, hivyo ni muhimu ashughurikiwe kabla ya kuendelea na mapambano. hulioni hilo ngoja awe kwanzan mdogo kama piliton
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.