Search results

  1. dochivele

    Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

    Hiyo itakuwa Mloganzila mkuu..
  2. dochivele

    Magonjwa ya akili: Tukutane humu kama una mtu wa karibu mwenye ugonjwa wa akili

    Haya masuala mtu hawez kuyachukulia umakini mpaka yamkute... nina dada mwenye huo ugonjwa anatumia dawa na ana muda mrefu sana, anaendelea na kazi zake vizur ameolewa na ana watoto....!
  3. dochivele

    Mbunge Goodluck Mlinga asema Prof. Ndalichako hafai kuwa Waziri wa Elimu. Adai yeye, Musukuma na Lusinde wangefaa zaidi

    Ukiwakuta mishipa ilivyowasimama kuongelea elimu bure mara wanafunzi wameongezewa madarasa, hakuna badiliko hata moja kuhusu walimu masikini... utawakuta chini ya miti kazi kufukuza kunguru wasiwanyeee....! Waziri wa masifuri ww...!
  4. dochivele

    Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    Mtoto miaka mitatu.... mahusiano miaka mitatu halafu achekelee tu....!? Acheni kutuonea jaman, angekuwa yeye angekubali au ile chorus ya single mother ndo ingeanzia hapo....!
  5. dochivele

    Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

    Pole KLM...! Nmekaa mkao wa kula!
  6. dochivele

    Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

    [emoji56] mpaka nimevurugwa...!
  7. dochivele

    Orodha ya mabasi mabovu nchini ambayo hushauriwi kuyapanda

    Juz juz tu hapa nilipanda POLEPOLE CLASSIC nini cjui linaenda Babati linapitia singida, nilitamani kulia gari inaendeshwa na madereva wawili mambo ya magar siyajui vizur ila kuna sehemu inafunuliwa inachokonolewa ndo dereva atie gia.... nilitokwa povu hadi nikakaukwa koo wakaniambia c ningepanda...
  8. dochivele

    Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

    Na mimi nipo nipo tu nazungukia uzi kama Uchebe....
  9. dochivele

    Msaada wapendwa

    [emoji28]
  10. dochivele

    Simulizi Ya Kuvut

    Ntarudi, ila tafadhali mkuu usituache hewani..
  11. dochivele

    Watumishi wote wa umma sasa kupitia mafunzo ya kijeshi JKT

    Mi pia nmewaza hivyo hivyo..
  12. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    Asante Lara1, Msomali atawakoma huko hadi atoke atakuwa desh desh delicious....
  13. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    Masikini Sally... yale mateso yalininyong'onyeza vibaya vibaya...,
  14. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    [emoji27] nmeingia nkajua ntakuta Msomali kaenda kuomba radhi kwa Sally kumbe duh!
  15. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    Msomali kanchefua sema basi tu..
  16. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    Silali mpaka ntoe hii arosto..
  17. dochivele

    Weekend Story! Glory Be To God!

    Kanichefua Msomali basi tu..
  18. dochivele

    Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

    [emoji28] yani ww...!
Back
Top Bottom