Search results

  1. B

    Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    Pamoja na mchango mkubwa wa shule binafsi kwa nchi yetu (hasa baada ya mfumo wa shule za serikali kudorora kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990's, kwa hapa kidogo kuna UKAKASI; unapotenganisha wale wenye uwezo wa wastani (sio lazima sana wawe VILAZA), na wale wenye uwezo wa juu kidogo (sio lazima...
  2. B

    Daily Mail UK: Tanzania charges whistle blower website founder

    Tanzania charges whistleblower website owner with obstructing police | Daily Mail Online
  3. B

    Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Nimeifuatiliahii clip as per your comment, ni kweli ina yote uliyonukuu hapo juu. Ila hitimisho lake ni mwishoni mwa clip hii; isikilize vizuri. Mind you, sio nia yangu kumtetea Mzee wa Upako wala kukubaliana na kila hoja yake. Kwa hapa sidhani kwamba alikuwa na maana hiyo uliyohitimisha...
  4. B

    Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    Mmh ... Kwani ile ya MAFURIKO DAR iliishaje, alihama Dar? Au nilisikia vibaya?
  5. B

    Nawezaje Kupata Kazi Nje ya Nchi?

    Find Overseas Jobs and Employment, International Careers and Contracts and other Employment Opportunities and Resources at OverseasJobs.com 会員登録 | 外国人就職・外国人採用は㈳国際人材就職支援機構(IRS) International Search Jobs | Jobrapido.com
  6. B

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    Amedai kuwa Dangote anataka apewe gesi ya bure lakini hawatatoa kwa kuwa hiyo itakuwa ni upendeleo na makampuni mengine hayatachezewa fair. This is from Forbes, wachambuzi tusaidieni kujua mchele na chuya Makala inasema (inadai), "Executives at Dangote Industries Tanzania have recently...
  7. B

    Rais Magufuli amteua George Waitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA

    Sidhani kama Waitara alikuwa miongoni mwa MAKAMANDA WALIOONGOZA vita vya Kagera. Kipindi hicho alikuwa bado TOO JUNIOR about 28 yrs na hasa akiwa tu na chini ya miaka 10 jeshini. Vita ya Kagera ina heshima yake sana hasa unapotaja MAKAMANDA WALIOTUKUKA, walioongoza vita km David Musuguri, Silas...
  8. B

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Note that Msumbiji ndio lilikuwa "koloni" (mtawaliwa) la Ureno (Mkoloni/Mtawala) na Malawi "koloni" la Uingereza, na si vinginevyo. Ilikuwa ni kuweka vizuri lugha hapo, naomba kuwasilisha
  9. B

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    Ni kwelikuna ukweli kwa hoja yako. Ila wale weupe wanasema, "Something is better than nothing." Angalau serikali ya Awamu ya 5 wamefanya kitu kabla ya mwaka kuisha. Naomba tuvute subira, maana imenenwa, "Hata mbuyu ulianza kama mchicha," pia unapohesabu kabla ufike 5, achilia kufika 20 lazima...
  10. B

    Rais Magufuli: Ikulu ya Magogoni haitauzwa Serikali ikihamia Dodoma, itabaki kama makumbusho

    Gharama ya kuitunza itapatikana kutokana na toza viingilio (admission fee), plus vivutio vingine km maduka ya vitabu na vitu vya utamaduni wa kitanzania vinavyoweza kuuzwa hapo. Ni vema sana ikiwa makumbusho kwani wengi wetu wameondoka duniani pasipo wala kuwa na ndoto ya kuingia ikulu...
  11. B

    Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Imani za kishirikina ziko kila mahali, na mengi yamesemwa sana ni sio rahisi kuthibitisha yote kama inahusiana au la. Kwa mfano: 1.Tukio la mechi ya fainali Simba na Yanga Nyamagana Mwanza 1974: Inadaiwa Gibson Sembuli (#10 wa Yanga) alimpiga Saad Ally (Simba) kwa kiwiko cha mkono (kipepsi) na...
  12. B

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Hi ndio shida ya kuteua wastaafu; inaonekana kama hajui kuwa yupo tena ofisini, bila kujua kuwa mstaafu yupo katika kipindi kingine cha maisha. Zingatia haya; maisha ya utoto, shule/chuo, kazini na kustaafu. Bila kufahamu hili bado yeyote anaweza kujisahau tu. Tena ... tangu astaafu mpaka...
  13. B

    Waziri Nape Nnauye awasimamisha kazi vigogo wa TBC kutokana na utendaji usioridhisha

    Duh ... yaani hapa ndio mie nachanganyikiwa kabisa kama sio kukanganyikiwa; hivi bosi wa TBS ni nani hasa kiutendaji na kuwajibikaji, ni waziri? Kwani ndiye aliyeteua hao watendaji? Vipi nafasi ya bodi ya TBC na management yake, yaani mtu yeyote anaweza kuja na kusema tu, "Hamna kazi ..." ili...
  14. B

    Rais Magufuli amuongezea Mkuu wa Majeshi, Gen. Mwamunyange mwaka mmoja

    Sidhani kama alipata urais bila kutarajia; hivi kuchoka kote kwa pilika za kampeni plus zile push-ups 7 na kuongea lugha kadhaa kwenye kampeni - HAKUTARAJIA? Next time (at JamiiForums the home of great thinkers) try to be OBJECTIVE rather than being BIASED and SUBJECTIVE
  15. B

    Fastjet, mkiendelea na tabia hii, mtapoteza wateja

    Wengi wetu tunadhani kuingia kwenye biashara kubwa ni LELEMAMA; Kila kazi inahitaji kufuata KANUNI na TARATIBU za kufuata ili kuweza kuduma na kuwa RELIABLE, vinginevyo tutasikia inakuwa HISTORIA. Wengi wetu sio wote kama ni Watanzania tumeshasikia juu ya huduma na mashirika yaliyovuma sana kwa...
Back
Top Bottom