Search results

  1. T

    Mheshimiwa Pinda amewasaliti Watanzania na kwa kosa hili hasameheki

    Kijana wa ccm huyo, si mtoto wa mkulima tena, na ndo maana Luanjo aliona nazingua wakati mpango anaujua
  2. T

    Nimfanyaje huyu dada? Yamenikuta leo asbh

    Achana naye maana anaonekana hana busara
  3. T

    hivi godbless lema aliomba mwongozo au alimtuhumu waziri mkuu??

    Spika wa bunge anatakiwa awe mwanasheria kitaaluma sio kuchukua mtu tu hana uwezo hata wa kutafsili kanuni za bunge na kumpa nafac kubwa kama huyu mama sasa hebu tazama jinsi gani anaabika kwa kushindwa kuendesha bunge huku akijisifu kukaa bungeni miaka 35 aibu hii si kwa makindi tu ni kwa wana...
  4. T

    Hivi kwa nini watu wanapenda sana kupiga chabo

    Imenichukua masaa kazaa kutafaka uelewa wa Saidi Mwema kuhusu kazi ya polisi kwa tukio na nguvu alizotua juzi kupambana na wananchi wa Arusha, hii inaonyesha saidi mwema hajui nini kazi ya polisi na uwepo wake, la lingine wakati huu ambapo tupo katika harakati za kuandika katiba mpya inaonyesha...
  5. T

    Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha

    huu ni mchezo mchafu na ni wa kukemewa kwa nguvu ya uma
Back
Top Bottom