Ingekuwa bongo
Mpaka wanatoka watu washachomoka mpaka na vigae
Baada ya kufika humo ngumi za kugawana vilivyomo zingefuatia
Kuna mtu angetamani hata alifiche kochi kwenye shati
Ndugu yangu
Afrika ndio bara pekee ambalo viongozi wooote ni wapumbavu na mawakala wa shetani
Kwa sasa kijana kuwa na akili nchi yoyote ya Afrika ni kosa la jinai
Aisee uwe makini saaana katika hili kijana
Yawezekana mkeo luna mishe zake za kidwanzi kafanya na rafiko yako kazijua, ili kuepusha hilo kwani kama mnashibana akaona inshu ni kuwagombanisha na njia nzuri ni kusema anatongozwa.
Unaweza kuta jamaa anakukusanyia data nyingi ili ukija mkae kiume...
Hizi sheria za ubakaji zingekuwa na nguvu miaka yetu
Sijui kama dunia ya leo kungekuwa na wazeee mtaani
Naamini wooote tungekuwa tunamalizia vifungo vyetu
Enzo za ngwala huku binti ana mzigo kichwano wa unga ama kuni au ndoo ya maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.