wakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Mwenyezi Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo,,,watafute hao wasabato ukiwa na hoja zako hizi kisha mjadiliane kwa pamoja ninahakika utapata majibu sahihi,,,masuala ya kiroho yanahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu
mkuu mimi nakushauri uwatafute wenyewe mjadiliane pamoja ninahakika baada ya...
mimi kwa upande wangu tabia inayonikera ni uchafu... yaani watu utashangaa anaingia toilet akiwa na kikombe cha maji...sasa jaribu kuingia baada ya yeye kuondoka utakachokikuta ni siri yako
mmm afadhali wewe una miaka 39,, wengine huku tuna miaka 41 hatuna kazi ya kueleweka, hatuna madem tunaachwa kila siku tukiwapata,, wazazi wetu maskini hawana chochote,, tuna vyeti vyetu ndani tumeviihifadhi vizuri kabisa..... yaaan kwa kifupi hatuna namna tumekubaliana na hali halisi
habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida ya hii kazi,.natanguliza shukran
mmmh hii inshu ya kunyimwa unyumba huwa nasikia tu kama hivi,. mimi kwa upande wangu sijawahi kunyimwa kabisa kila nikitaka najipatia tu kiulaini,,,sasa mkuu ukinyimwa mi nakushauri utafute mwingine tu ujikomboe kwa nini upate shida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.