Kauli zako sijapenda kabisa ndg yangu usiwabeze watu wa namna hii kabisa, nani kakuambia kuwa mali zote walizonazo polisi ni za laana, hivi kwa nn watanzania tulio wengi kwa nn hatuwapendi polisi ndo kusema katika ukoo wenu hamna hata polisi mmoja, ifikie wakati tubadilike bhana, nina ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.