Kama unajua tabia za mwanamke mjamzito wala usingehama, coz inatakiwa the more anakuchukia the more unamwonyesha mapenzi, coz si yeye ni hormones zinafanya kazi.
Wakati unamkojolendani ulidhan hizo mbegu zinaenda wapi, be responsible kwa utamu wako, raha mpate wote, mimba umlalamikie mwenzako, tena watu kama nyie ndo mnapiga mikelele kweli mkifunga goli
Duh ama kweli mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, mume hujali, hata mwanao pia hujali, wewe unaishi humu duniani kufanya nn kama watu wa muhimu kwako huwapi muda, huyu hata akifa kwenye hukumu kwa Mungu atachapwa vibao vitakatifu, na wazazi wake pumbaf kabisa, mtu...
Kama kweli alitaka mabadiliko angekuja kuanzia chadema kugombea, mie chadema damu ilanimekwazika sana chademakusimamisha hii kitu kama mgombea urais. hizi ni ndoto
Wasichana wa siku hizi wanapenda short cut, hawapendi kuanza chini na mwanaume na hhiyo ndio inawaponza kuanza kutembea na waume za watu kujitafutia mabalaa. maana muibie gaga atakaa kimya, ila muibie mwa flan? yuko radhi hata kukodi wahuni wakubake, kuweni makini warembo, jitafutieni vya kwenu...
Wanaume wanakuwaga wazito sana kusamehe pale wanapokosewa! Ila hutegemea kusamehewa na wake zao hata mara mia wanapokosea! Hii ni uumbaji wao tu! Wako hivyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.