Search results

  1. J

    Zitto aibua Ufisadi mpya BOT, ni wa karibu 620bil

    wafanyakazi wako zaidi ya 1500.Hili nina uhakika nalo ukigawanya utapata kama m37 hivi. hii si hela nyingi kwa mkopo wa nyumba. Tuache majungu jamaaaaaa. kama kuna sababu ya kweli tuseme ila kwa hili hizi ni fitna tu. mwambieni zitto aseme BOT inawafanyakazi wangapi?
  2. J

    Zitto aibua Ufisadi mpya BOT, ni wa karibu 620bil

    Kaka/Dada hesabu uliishia darasa la ngapi? kugawanya mmmmh au masifuri yanakuchanganya?
  3. J

    Zitto aibua Ufisadi mpya BOT, ni wa karibu 620bil

    Hivi JF siku hizi kuna watu wa aina gani? hata kugawa bilioni 55 kwa say 1000 mtu hawezi?Jamani tuache majung fitna na kushadadia tuuuu. Ninavyojua mimi BOT inawafanyakazi kama 1,500 hivi nchi nzima. Sasa bil 55 gawa kwa hao ni sh.milioni kama 37 hivi. Huo ni mkopo wa nyumba. Sasa tuwe wa kweli...
  4. J

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Jamani tuache fitna.mtuanasema kigoda kaishiaform four ni miongo.mi nakumbuka nimesoma naye tambaza A level.ila kweli form six alichemsha.huyo mongela si mtoto wa getrude namfahamu sana tom alianzia kazi stanchart.ni majina tu.halafu kinachotakiwa ni kuthibitisha kuwa hawana vigezo kuwa mtoto wa...
  5. J

    Sh. milioni 300 kununua magari mawili ya serikali

    Hivi ndugu unataka kusema kwa kuwa CDM wamenunu magari kwa sh.400m ndio halali serikali kununua magari 2 kwa mil 300?nyie watu msioishi tz mnakera sana.unajua hali ilivyo kwenye hospt zetu? Unajua hali ya shule zetu? kama cdm wamefanya hivyo si sahihi ila kwa serikali ni mbaya zaidi.wacha...
  6. J

    Hodi Jamivini

    Wandugu mini memba mpya naomba mnipokee kwenye nyumba ya great thinkers. Thanx
Back
Top Bottom