Search results

  1. munyambugha.

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    bashite kasema ana vyeti vya kipaimara, vya form 4 hana..!!!
  2. munyambugha.

    CRDB wapandisha riba ya junior jumbo account

    Yani niweke pesa yangu miaka yote hiyo unile 4% kwa mwaka..!! mbona nikija kukopa unanicharge 24%? Humpati mtu hapaa
  3. munyambugha.

    Bei za magari mbalimbali showroom

    Hiyo hela inatosha na chinji inabaki
  4. munyambugha.

    Suzuki Swift

    Vipi kuhusu carina ti na noah old model ipi ni gari nzuri wakuu?
  5. munyambugha.

    Njoo tukuchimbie kisima (water well drilling)

    Naweza kumwagilia heka kumi mpaka bikavuna?
  6. munyambugha.

    Wenye uhitaji wa Training ya Tally kwa bei nzuri na mwalimu Bora A. Mashariki

    Weka hapa mezani kila kitu bhana inbox kufata nn tena?
  7. munyambugha.

    Njoo tukuchimbie kisima (water well drilling)

    Mbona bei nikubwa sana hivi tatizo ni nn hasa?
  8. munyambugha.

    Trust fummigation services

    Weka bei zako hapa tuzione.
  9. munyambugha.

    Plot4Sale Eneo la hekari mbili linauzwa, lipo kijiji cha Cheta

    Kuna nn hasa cha ziada kwenye hilo shamba? Kuna gesi au?
  10. munyambugha.

    Shamba linauzwa Morogoro

    Huko si kuna mapigano sana mkuu?
  11. munyambugha.

    DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

    Kile kifurushi kinacho kuwezesha kuangalia mipira yote duniani, yani s2 mpaka10 bei gani kwa mwezi?
  12. munyambugha.

    Nauza eneo langu la ekari moja na nusu Chanika

    Hahahaaa. Hiyo ni robo ndugu
  13. munyambugha.

    Habari zenu..

    Wizi mtupu..
  14. munyambugha.

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    Wapi huko mkuu? Dengu inakubali huko?
  15. munyambugha.

    Wapinzani wataridhia pale watanzania watakapo waambia kuwa Mmekosea

    Nyie mnao sema mnasikia uchungu na kupata maumivu jinsi nchi inavyo endeshwa, subiri bado kidogo mtajifungua na hayo maumivu yatakwisha... Hii nchi ilisha oza, kaja magu anataka kuiweka sawa tena mnaanza kusema mnaona maumivu..!! Na bado mtazaa tu mwaka huu..
  16. munyambugha.

    Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

    Mkuu unahisi bei zako ni nafuu kuliko maduka mengine?
Back
Top Bottom