Search results

  1. kadoda11

    Mbwana Samatta alivyoruka viunzi vya Wadada wa Bongo na Wazungu

    akija likizo huwa anajifungia kwake kule kijichi. anacheza playstation na kufanya warm up mida ya alfajiri na washkaji zake wa kitaa. huwezi kumuona anazurula kidimbwi, juliana au element na machawa/wadada wa mujini. samata is a very humble guy. hana makuu japo pesa anayo.
  2. kadoda11

    Majanga ya moto viwandani.. Siri iliyofichwa kwa wazawa wazalendo wengi

    "Bashite asijione mshindi na waganga wake feki.. ANATENGENEZWA!"
  3. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    watajirekebisha taratibu baada ya kupata elimu. tuwape mda.
  4. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    hahaha...huwa napitia kule kwenye jukwaa la battle kuchungulia. naona vijana wanaendelea kuwatembezea bakora wakenya. hakika vijana wamekwiva, spirit tuliyopandikiza kwao ipo juu sana.
  5. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    nipo sana mwenye afya tele na uchangamfu mwingi.
  6. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    [emoji1374][emoji1374][emoji1374]
  8. kadoda11

    Siku ya mwananchi ilioneshwa AZAM tv, Simba day itaoneshwa na Tv gani

    azamtv ndio itaonyesha simba day. jambo la kufanya ni kulipia mapema vifurushi vya azamtv ili kuepuka usumbufu. kuna uwezekano, siku ya simba day (tarehe 19), system inayosimamia malipo ya azamtv ikazidiwa kutokana na foleni kubwa ya wateja. ili kuepuka usumbufu huu,lipia mapema.
  9. kadoda11

    Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    mleta mada ningekuwa karibu na wewe ningekuzaba kibao kwa kuambatanisha picha ya uongo kwenye uzi wako. binti mrembo anayeonekana kwenye picha sio ya huyo kuruthum uliyemzungumzia. umepotosha. huyo binti ni mnyarandwa, ana page yake kule instagram.
  10. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    kumbe nilipata watu wa kuniwakilisha?
  11. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    honestly nilikuwa sikubaliani na siasa za mwendazake. na hiyo ndio sababu namba moja iliyofanya nikae kando na mitandao.
  12. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    hahahaha....mimi bado mwenenu sana. siwezi kusahau mataa iliyonilea
  13. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    hahaha...umekosea. sio tilapia[emoji16][emoji16]
  14. kadoda11

    Ni mimi kadoda11. Nipo hai, ni mzima wa afya tele, nawasalimia

    Mara ya mwisho kuingia JF ni april 2019. Leo nime-log in baada ya kupata salamu nyingi kutoka kwa rafiki zangu ambao nilikuwa nishirikinao pamoja katika mijadala mbalimbali hapa jamvini. Mijadala ambayo nilikuwa very active ni ile ambayo huwa inawaleta pamoja wakenya na watanzania. wadau wa...
Back
Top Bottom