Search results

  1. T

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Ahsante kwa taarifa....kuna lingine? MABADILIKO NI LAZIMA...IMETOSHA...
  2. T

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    ongea jipya......hilo tunalijua na ndio chaguo letu... wengine wanatumia za kuongeza kinga na bado wanachaguliwa kwenye majukumu mbalimbali...Ikulu hawaendi kubeba zege...tume ingeweka afya checklist kwa wagombea woote kupimwa na matokeo kuwa wazi na anayekidhi vigezo vya afya ndo...
  3. T

    Nape amtaka Mbowe ajiuzulu, ameaibisha Upinzani

    October wataisoma namba.....
  4. T

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    FaizaFoxy...Inasikitisha sana mnavyojenga hoja zisizo za msingi, kuna mambo mengi kama ya escrow ambayo viongozi hawafati taratibu na dhamana ya vyeo vyao...na sisi tunashabikia badala ya kufanya ya msingi kubadili system mbovu ya wachache kunufaika na wengi kukosa mambo ya msingi kama dawa...
  5. T

    Uchepukaji salama

    michepuko tatizo....njia kuu mpango mzima....:msela:
  6. T

    High performance debt collection course 30th Oct-31st Oct 2014

    Training on collections and debt management for accountants, finance managers, credit controllers,debt collectors...sms your email on 0784 201 332 for more details...
  7. T

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Bila kuweka ushabiki wa kisiasa mbele, nadhani CHADEMA ni chama makini sana na wanafanya maamuzi magumu ambayo CCM wangeiga tungefika mbali...yale magamba waliyotaka kuyavua yameota sugu, waheshimiwa wenye kashfa bado wanapeta na kodi zetu...Uchaguzi ungefanyika leo ningechagua CHADEMA...siasa...
  8. T

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Mh hii sasa noma...
  9. T

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    inaonekana wabunge wa CCM walijitengenezea mpango wa kula milele kwa kujiwekea posho na marupurupu mengi wakidhani watatawala milele..i think its time wa tz tuangalie upya malipo yao kwa kina...naunga mkono hoja ya comrade Zitto Kabwe.
  10. T

    Serikali sasa kununua mitambo ya DOWANS!

    the decision may sound right, but the motive for the decision...i doubt...
Back
Top Bottom