Search results

  1. Mwelewa

    Nimeagiza mzigo wangu wa kwanza China kodi niliyokadiliwa na TRA ni kubwa mno je nawezaje kuomba kupunguziwa wakuu nishaurini nimechanganyikiwa

    Nakushauri nenda kwenye ofisi ya custom (Tra) katika sehemu unayotegemea kupokea mzigo na uwaambie kuhusu swala lako. Hapo watakupa gharama zao kwamaana ya VAT Pia jaribu kuuliza agent wako je handling fee zao ni kiasi gani. Hapa utaweza kuona kiasi gani unalipa kama kodi na pia kiasi gani...
  2. Mwelewa

    Nimeagiza mzigo wangu wa kwanza China kodi niliyokadiliwa na TRA ni kubwa mno je nawezaje kuomba kupunguziwa wakuu nishaurini nimechanganyikiwa

    Yes unaweza kupatiwa punguzo la kodi ya mzigo wako. Juzi nimenunua iPhone 7 toka Atlanta USA custom wakanibambikia kodi almost laki na ishirini. Nilifanikiwa kufanya bargain wakanipunguzia kidogo Hizi kodi si rafiki kabisa jitahidi kuongea nao vizuri
  3. Mwelewa

    Ni jinsi gani ya kutangaza biashara kwenye mitandao?

    Simple 1 • Jambo la kwanza tengeneza authority katika eneo unalotoa huduma yako. Authority itakufanya uonekane mjuzi wa bidhaa unayojaribu kuwauzia wengine. Pia itakusaidia kutengeneza brand yako. Mbinu hii itakusaidia sana in a long run. Kujenga authority unahitaji kujihabarusha. Uwe...
  4. Mwelewa

    Today is World Wildlife Day

    Wakati tuna adhimisha siku ya leo tuendelee kupiga vita ujangii huu uliowekwa kisheria. Hivi inakuaje unaruhusu kuwinda tembo, chui au simba wakati inafahamika kabisa hawa wanyama wanakaribia kutoweka?
  5. Mwelewa

    Napataje kimbulisho cha taifa kwa haraka

    Fuata hatua zifuatazo. 1 • Chukua fomu toka ofisi ya Nida katika mji/wilaya unayoishi. 2 • Jaza fomu yako kwa kalamu nyeusi. 3 • Peleka formu kwa Mwenyekiti wa mtaa upate stamp na signature yake. Hapa pia atakupatia barua ya uthibitisho ikiwa imegongwa muhuri. 4 • Toa copy ya kitambulisho...
  6. Mwelewa

    Ubadilishaji wa dola za $1, $5, $10 na $20 kwa kiwango tofauti na noti za $ 50 na $100 ni msimamo wa BOT au wizi uliobarikiwa na BOT?

    Hii sababu ni dhaifu. Exchange rate ya pesa ya kigeni inapaswa iwe sawa kwa aina zote za note kama inavyoamuliwa na nguvu ya soko (demand & supply) Hiki wanachofanya hakina tofauti na wizi. Pia inavuruga thamani halisi ya pesa.
  7. Mwelewa

    Ubadilishaji wa dola za $1, $5, $10 na $20 kwa kiwango tofauti na noti za $ 50 na $100 ni msimamo wa BOT au wizi uliobarikiwa na BOT?

    Kama unaelewa lengo lao ni kutengeneza super normal profit. Kusema kwamba hawapati faida hiyo ni janja ya njani tu.
  8. Mwelewa

    Ubadilishaji wa dola za $1, $5, $10 na $20 kwa kiwango tofauti na noti za $ 50 na $100 ni msimamo wa BOT au wizi uliobarikiwa na BOT?

    Ndiyo hiyo ni kweli na haijaanza leo. Hii kadhia nilikutana nayo mwezi December mwishoni 2018 hapa Arusha. Nakumbuka maduka ya kubadilisha fedha yalikuwa yamesimamishwa. Sasa siku hiyo nilikuwa nimechelewa imefika jioni kabisa bank zimefungwa na ninahitaji kubadili $$$$. Siku hiyo town...
  9. Mwelewa

    Wazo la biashara linapotea kila nikiwa na pesa

    Mkuu unahitaji mentor wakukuongoza kupata focus. Nikwambie tu. Hadi sasa wala huamini katika wazo lako la biashara ndiyo maana haupo na msukumo wakuanza NOW. Ukiona wewe ni mtu wa excuses kila mara hiyo maana yake hauna burning desire kwenye ujasiriamali. Ili uwe successful kwenye business...
  10. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    Mkuu naona unachekelea. Mimi ni member wa siku nyingi na ninafahamu JF ina members wa namna gani. Kwa kuweta taarifa sawa I've been working with clients from JF for long time and they trust me. Hawa trolls wanaofikiria negative kwa kila jambo they dont bother me at all. They are losers. Sasa...
  11. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    You are so stupid. My 8 year old niece is way smarter than you. Wewe unaelewa lolote kuhusu sales & marketing. Mimi nimefanya kazi na watu zaidi ya 500 hapa JF sikurupuki. Hapa ninavyoandika nimepokea emails. Unajua kwanini? Watu wanajali wanapenda kujifunza. Na hao tu ndiyo ninaowajali...
  12. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    Mkuu nimekukosea nini hadi unaniita mpuuzi? Nimejaribu kupitia baadhi ya thread zako naona wala sihitaji kubishana lolote na wewe. Next time be careful with your words. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    Habari boss! Umewezaje kufahamu hivyo? Au umeamua tu kuandika unachodhani? Mkuu kuwa makini.
  14. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    Utalipwa wastani wa $2 kwa kila watazamaji 1000 katika content (video) uliyoweka kwenye channel yako. Lakini kuna njia chache nyingine ambazo ni nzuri zaidi kuliko kutegemea idadi ya views ndiyo upata pesa YouTube. Unahitaji kujifunza zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mwelewa

    Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

    Yes celebrities wanatengeneza pesa nzuri kwasababu wanapata views nyingi zaidi. Lakini pia haiishii hapo. Kuna kundi la watu wao wanatafuta maarifa. Kwahiyo kama unaweza kuanzisha niche channel na kutengeneza quality contents, trust me you will make good money. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mwelewa

    Hivi sisi watu weusi, hatuwezi kuwabagua na kuwapatia manyanyaso mazito watu weupe?

    Usijali sana kuhusu "watu wetu" wanaotukuza weupe kwa sababu ya dini au siasa. Kazi yako ni kuelekeza nguvu kwa mambo yote unayoweza kufanya ili kubadilisha hii mindset kwa watu wetu. Ongea na the younger ones sehemu unayoishi. Tell them truth. Hilo tu ndilo unaweza kufanya. Sent using...
  17. Mwelewa

    Hivi sisi watu weusi, hatuwezi kuwabagua na kuwapatia manyanyaso mazito watu weupe?

    Ubaguzi wa watu weupe kwenda kwa weusi niwakimfumo. Kuondoa huo ubaguzi inabidi ukate mizizi ya mfumo unaowezesha watu weupe kubagua weusi. Huu mfumo naouongelea umegawanyika katika sehemu tano. Familia, taasisi za elimu, dini, biashara na serikali. Sehemu zote hizi zinawaona watu weupe ni...
  18. Mwelewa

    Kiama cha wafanyabiashara wakwepa Kodi Arusha Chaja

    Kesho tunapigwa pingu Arusha. Huyo kiongozi wao anaitwa Dr Madeni. Kazi kweli kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Mwelewa

    Mliofanikiwa Kwenye Biashara : Je, Ulifanyaje Hadi Kufikia Mafanikio Uliyonayo Leo?

    Sawa mkuu amu Ngoja tuendelee kusubiri wadau wamwage nondo kwenye business. Mwenyewe nafuatilia kwa karibu kabisa. Naamini nitajifunza mengi kutoka kwa wafanyabiashara waliofanikiwa.
  20. Mwelewa

    Mliofanikiwa Kwenye Biashara : Je, Ulifanyaje Hadi Kufikia Mafanikio Uliyonayo Leo?

    Kila la kheri mkuu. Siku mambo yakiwa vizuri utupe mrejesho
Back
Top Bottom