Search results

  1. Mbwiga_Plus

    Shukrani za Jamal Emil Malinzi kwa wana JF

    Mkuu, Noted, na hongera sana!
  2. Mbwiga_Plus

    Msaada; Jinsi ya Ku'save Contacts Kwenye Web.

    Wadau wa Jukwaa la Teknolojia. Nawaomba mnisaidie jinsi ya kusave number za contacts za simu kwenye web kama google... Nimesikia kuwa ukisevu huko hata ukipoteza line au simu utapata contact zote. Simu ninayotumia ni smartphone,Samsung Android OS, GT S6802. Kwa anayejua anisaidie maelezo hatua...
  3. Mbwiga_Plus

    Mbinu mpya za kujisafisha

    Kama aliwaahidi Wananchi kwa mdomo wake hilo ni deni lake No Way short of that! WanaKyela Muonyesheni huyu msaanii maana cheo alichohongwa kimemfanya ajisahau! Anapambana na bandari wakati waliomchagua wanaomboleza...hovyo kabisa.
  4. Mbwiga_Plus

    Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

    BAK si umwekee wimbo sasa na we bana? Akuanzaye mmalize mkuu, na Ushikwapo Shikamana!...Hii ni nyota ya jaha babaangu!
  5. Mbwiga_Plus

    BAVICHA mwenyeji mkutano wa IYDU Julai 25 hadi 30, jijini Dar es Salaam jaza fomu za kuhudhulia

    Nahofia tu kama Serikali watatoa kibali kwa mkutano huo kufanyika. Halahala jamani Polisi, tusijejisahau tukaanza kupiga mabomu ya machozi tukidhani ni Wana Bavicha pekee! Well, hii ni hatua nzuri sana kwa makuzi ya Bavicha na kwa nchi yetu kwa ujumla, na serikali inatakiwa kusapoti mkutano...
  6. Mbwiga_Plus

    Polisi wateseka na bomu la Arusha bado

    Kuna mambo mawili hapa: Kwanza JK anajiona kwa Superiority na power aliyo nayo hawezi kuelekezwa, kupangiwa au hata kushauriwa jambo na wapinzani wake, na kisha akatekeleza. Anahisi atapunguza heshima anayohisi kuwa nayo. Pili ni kwamba anajua kuwa kuna ukweli katika madai ya Cdm, hivyo...
  7. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Lema hawezi kuwa na mishemishe yoyote na Mburula kama Chris Lukosi. Lema sio kunguru bana!
  8. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Kuongea bila takwimu ni sawa na kuropoka au kuhara bila control.
  9. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Hata mi nawashangaa, hawana tofauti na ccm ambao wakianza kuua tembo kule serengeti na kupakia twga kwenye ndege utadhani wameagizana wote.
  10. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Huyu hata asipoomba uhamisho atajikuta naturally akiwa absolete maana watu wa Arusha wanabadilika kila siku wakati yeye akiwa bado stagnant. Atakaa pembeni mwenyewe.
  11. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Mkuu, nilitamani sn kurekodi, lkn intelijensia ilikuwa at the maximum surveillance, maana watu hawa wanaishi kwa mashaka sana.
  12. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Mbona unakwepesha brother? Nimesema viongozi wote wanaoiabudu ccm matumbo joto Huko Arusha. Mkuu itakuwa imefanikiwa sana kama wananchi wote watapata elimu ya uraia na kutambua haki zao za msingi toka Serikalini. Ishu si tu Magogoni kama bichwa lako linavotaka kulazimisha.
  13. Mbwiga_Plus

    Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

    Jana 19/07/2013 huko mkoani Arusha kulikuwa na sherehe za kuwaaga na kuwakaribisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya Wilaya, ikiwa ni pamoja na kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Eng. Mushi ambaye amehamishiwa Wilaya ya Ilala, na hapohapo kumkaribisha Mkuu wa Wilaya mpya, John Mongella...
  14. Mbwiga_Plus

    Idara ya Usalama wa Taifa ipewe Mamlaka zaidi ili kuinusuru Nchi

    Ndugu wana Intelijensia. Naomba mpitie threads zifuatazo na kisha tuanze mjadala: 1.AJALI 2.WANAJESHI WAUAWA Ukisoma taratibu kabisa na kwa kutafakari hizo thread mbili tu utapata kionjo fulani juu ya hisia za Wananchi, japo kwa sample ndogo, jinsi wanavyowachukulia viongozi wao na Jeshi letu...
  15. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Tuseme kwa vile ni sheria za serikali tu, lakini ingewezekana kuzuia hizi chaguzi, hakika marudio ya Arusha ni kupoteza muda!../actually ni kuitengenezea mazingira mazuri sana cdm na kuitangaza zaidi jina....
  16. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Kaka, Ni kweli usemayo. CCM wameshindwa Arumeru kutokana na sababu kuu moja ambayo wengi hawaijui. Ni kwamba Arumeru hapakuwa na nafasi ya kupandikiza UDINI(hasa ubaguzi wa kiislamu) ndiyo gia kuu ya ccm jamani. Arumeru ilishindikana hiyo ndiyo maana wakajaribisha hata kuwingia makanisani...
  17. Mbwiga_Plus

    Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

    Namjua mwanae mmoja ni pilot wa ndege za TANAPA. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi...
  18. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Tuombe Mungu kaka.
  19. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Baba, Hukumu ya Lema imepata shinikizo kubwa sana kutoka kwa watu mbalimbali! Kuna shinikizo toka kwa EL, serikali(kumbuka skendo bungeni ya Pinda na uwongo) na Bunge lenyewe, kuanzia spika na watu wa ccm.
  20. Mbwiga_Plus

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    Inadaiwa kuwa Lema alitumia lugha ya matusi na ya kudhalilisha wakati wa kampeni, na ushahidi umeonyesha hivyo...dai kuu ni hilo
Back
Top Bottom