Search results

  1. dindilichuma

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Ni lini Pengo amekua sio kadinali? Una hii taarifa Peke yako. Mpaka Vatican wanatambua Pengo ni kadinali isipokua wewe.
  2. dindilichuma

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Ninachojiuliza yakianza kujadiliwa mambo yasio ya muungano kwenye Bunge la JMT wao wanatoka nnje au wanafanya nini? Bajeti za wizara zisizo za muungano wao pia wanachangia hoja na kupitisha bajeti??
  3. dindilichuma

    Harmonize afikishwe sober house haraka, mihadarati inapeleka kubaya

    Sasa kosa liko wapi wakati masuala ya Mungu ni masuala ya Imani. Yeye anaamini Mungu ni Mwanamke na anahaki hiyo au ni lazima Imani yake ifanane na Yako ndio awe sahihi. Kama Mungu sio Mwanamke unaweza wewe kumpinga lakini kwa kuwa niimani tunaheshimu mawazo yake na imani yake. Mfano Wakristo...
  4. dindilichuma

    Unahisi ni sababu ipi zaidi inayofanya ndoa nyingi za vijana kuvunjika?

    Kila Ndoa inavunjika kwa sababu tofauti na nyingine hauwezi kudhani kama inaweza kuwa sababu. Kwangu mimi naona Ndoa zinavunjika kwa kuwa wanaoana watu kwa kupendana tu bila hata kuendana na upendo ni kitu ambacho kinaisha na kikiisha mnaanza kuishi uhalisia na hapo ndio shughuli inaanza...
  5. dindilichuma

    Ufikirie mwisho wako achana na mwisho wa dunia

    Umesema kweli nature inatutaka tuwe watu wema hata bila kutishiwa. Kuwa na upenda ni kitu unaweza kujiengea bila vitisho vyovyote na Kuna watu wanaroho nzuri na wanatenda mema na sio waumini wa dini na hawatarajii malipo yoyote baadae. Waumini wa dini tunatenda mema tukitarajia malipo Mwisho wa...
  6. dindilichuma

    Makonda nilikuonya ulipokuwa Mwenezi hukusikia, sasa huko Arusha sikuonyi tena ila utakuja kunikumbuka

    Makonda kwanini haachwi kwenye uongozi ikiwa hafai? Nadhani Makonda anafaa ndio maana anateuliwa angekua hafai mbona watu wa kuteua ni wengi sana kwanini yeye? Maana yake anakitu ambacho wengine hawana. Aliachwa tangu 2020 lakini Bado imeonekana anahitajika. Tusiompenda sasa tutabaki tu...
  7. dindilichuma

    Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Mke inabidi aelewe Ndoa ni taasisi. Haiwezekani kila mmoja akawa anafanya kivyakevyake hio sio Ndoa ni watu tu mmekutana mnaitana mke na mume. Kama ni Ndoa kweli hakuna Cha mke peke yake Wala mume peke yake. Baada ya kukaa Muda mrefu mke Mjinga Ndio anakuja kujua hili. Unajenga kwenu kwa hiyo...
  8. dindilichuma

    Aliyerekodi video akieleza amepewa bahasha yenye Tsh. 5,000 huko Kizimkazi asibughuziwe, kama mamlaka zina ushahidi kadanganya waseme

    Nadhani malalamiko yake huenda ametoka mbali na ametumia gharama zaidi ya 5,000 . Malalamiko yake huenda amepata hasara kwenda maana 5,000 ni ndogo kuliko nauli aliyotumia hivyo anaona ni Bora asingeenda angeokoa kitu.
  9. dindilichuma

    Teuzi na tangua za Makonda ni wazi kuwa hafai ila kwasababu zisizoeleweka vizuri mamlaka zinajikuta zinamteua japo zinajua kuwa hafai

    Huyu Makonda huwa anajiteua au anateuliwa? Unaomba kuteuliwa au mteuaji anaamua mwenyewe akiona unafaa. Mtu kakaa kwake akiendelea na shughuli zake unamteua halafu watu wengine wanalalamika na uteuzi unabadilishwa kazi moja kwenda nyingine shida ni nini. Shaka alitolewa akapelekwa ukuu wa...
  10. dindilichuma

    Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Nadhani labda kutakua na mabadiliko kwenye mtaala. Sijawa na hakika sana kwanini serikali ingependa baadhi ya wanafunzi wasome Quran na Biblia kama somo. Sijaju lengo hasa ni Nini. Divinity na Islamic Knowledge zilikua zinafundishwa na mimi nilisoma kama somo la ziada sio kwenye tahasusi. Ni...
  11. dindilichuma

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Samsung Galaxy S21 5G Na Samsung Galaxy S21 5G Bei zake zikoje
  12. dindilichuma

    Nini kifanyike mgogoro wa Bajaj na daladala?

    Katika soko ukiona hivyo ujue daladala ziko ukingoni kutoweka hapo mjini. Mgomo wa daladala haujawahi kusaidia kuwaondoa bajaji kwenye miji yote. Iringa Kuna wakati daladala ziligoma lakini baada ya Muda bajaji zimetawala. Kuna kiongozi mmoja aliwajibu watu wa daladala "ukiona bajaji wanafaidi...
  13. dindilichuma

    Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Masuala ya Imani hayana uhusiano sana na utajiri wa Mali Bali wa kiroho. Waganga na wachawi Wana utajiri wa kiroho hawana utajiri wa Mali. Katika ulimwengu wao wanaheshimiana kwa utajiri wao usioweza kuuelewa. Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  14. dindilichuma

    Kwanini si Dkt. Ali Hassan Mwinyi?

    Kwa mujibu wa taratibu huwezi kujiita Dkt kwa udaktari wa Heshima ni kosa.
  15. dindilichuma

    Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    Siasa huwa haina huruma ukibaki kulialia mitandaoni Jimbo linaondoka kweli. Homera ni mchapakazi Sana alipokua Tunduru alikua vizuri Sana sijajua huko aliko sasa. Vita ajitahidi kuboresha utendaji wake uwe mzuri zaidi wananchi wakimkubali anafanya kazi vyema hakuna wakuchukua Jimbo hilo ila...
  16. dindilichuma

    Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

    Alichosema Makonda ni ukweli kwamba mtu masikini hana hela ya kumlipa wakili mzuri kwenye kesi yake. Na anaweza kupata wakili lakini huyo wakili pia akanunuliwa na upande wa pili ikawa balaa lilelile. Na kama hauna wakili mzuri mahakama itasikiliza kesi na kuangalia Sheria inasemaje na unaweza...
  17. dindilichuma

    Tundu Lisu amjibu mzee Kinana asema Chadema haihongeki ile Ruzuku ni Halali yao kama walidhani wanawahonga imekula Kwao!

    Ruzuku haihusiani na kuwepo au kutokuwepo wabunge wa viti maalumu bungeni. CDM , CCM na ACT wanayohaki ya kupata Ruzuku kutokana na Kura walizopata kwenye uchaguzi.
  18. dindilichuma

    Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la. Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana? Ni kwamba hawajasoma? Sasa tuje kwa makabila hayo yaliyosemwa kwamba wamesoma. mfano ofisini kiongozi akiwa ni mnyakyusa wanajjazana...
  19. dindilichuma

    Paul Makonda ameagiza Waziri wa TAMISEMI kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Pangani Haraka Sana

    Chama kinaomba ridhaa kwa wananchi kuunda serikali. Serikali ikifanya vibaya hukumu inaenda kwa chama kuondolewa madarakani. Ni CCM ndio itakayojibia mapungufu ya serikali na kupokea adhabu ya wananchi. Sasa tukisema chama baada ya uchaguzi hakina kazi yoyote kinasubiri kutumika wakati wa...
Back
Top Bottom