Ndugai hakuomba radhi kwani kosa lake pia hajalijua. 1. Anaposema KAMA kuna mtu nimemkwanza.. maana yake haelewi alipokosea. 2. Hakuishia hapo aliendelea kuisingizia mitandao kuwa ndiyo imesababisha kutafsiriwa tofauti. 3. Aliyakiwa moja kwa moja kukiri kweli nimemkosea rais na wananchi naomba...
Hicho ndo kitu pekee nilichotaraji kutoka kwa Mama. Ningeshangaa asingefanya hivyo. Ila hapo kwenye Mabadiliko asiishie kwenye baraza la mawaziri ashuke chini kwenye Makatibu, wakurugenze na wakuu mbalimbali wa Idara na taasisi. Huku chini ndo hawamsaidii kabisa na wanafanya hila za wazi...
Middle ring road haukua siyo katika miradi ya kimkakati ulikua ni mradi wa kupendezeqha mji wa dodoma. Mradi wa kimkakati ni Dodoma city outer ring road ambao anaendelea na ujenzi.
Tujifunze kutafuta habari kwa kina siyo kutoa povu tu kujifanya tunajua kuliko raisi.
Hapo awali dhamira ilikua njema tu but later turned into parastatal. So watu wanahitaji faida, magawio nk. Ni mtego km mitego mingine akili kumkichwa. Elimu ya tz siyo mtaji huwa hairudishi hela.
Simple, just cut 80% carbs food, na zaidi kata rice n ugali. eat more protein km vile nyama, mayai mbogamboga. Matunda kwa sana. Ivo vitu kula shibe yako na maji mengi utakuja kunishukuru
Niliamua ku practice diet kama ilivyo kwetu wengi baada ya kusumbuliwa na kifriza kwa muda hivi. Aiseee! Nashuru sana ndani ya muda mchache nilipata matokeo chanya na hivi sasa nna kama nusu mwaka tena bado niko model. Tatizo kwa sasa nalazimika kubadili nguo zote kwa maana zote zimekuwa kubwa...
Waliaza vzr wakidhani mbio zao ndo kila kitu ila leo ndo nimegundua kumbe hata abiria hawafurahishwi nqzo. Ni kwamba tu walichoka dharau za Azam na watu wake
Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
Watu wengi hawafamu hilo kwa kuwa:
1. Size haiandikwi kwenye pakiti.
2. maandishi yanayotumika ni madogo na yamefifia na
3. huandikwa mwishoni mwa mikunjo ya kifaa kicho ambapo watu wengi huwa hawaikunjui hadi mwisho kwa kuwa hawana uwezo wa kufanya hivyo.
Nakujuza tu ili utafute saizi yako.
Wadau habari zenu.
Mimi ni kijana wa Kitanzania, nimesoma na nimefanya kazi kwa muda mrefu sasa. Ila nahitaji na mimi walau nipate kanafasi niweze kuonesha uwezo wangu. Niko vzuri siyo mchezo. Ila mheshimiwa atanionaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.