Search results

  1. B

    Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

    Hoja zipi ? Nilimsikilza lakini maelezo yake yalikuwa ya ukali, matusi, kebehi bila kufafanua kipi anataka.
  2. B

    Maktaba Kuu ya Taifa

    Tunafahamu kuwa jengo la Maktaba Kuu ya Taifa linafanyiwa matengenezo toka mwa jana, lakini je -: Matengenezo haya yatakamilika lini ? Kwanini simu kuu haipokelewi ili wanachama waliositishiwa huduma wapewe mrejesho ? Je wanachama watafidiwaje kwa sitisho hilo ? Na lini huduma zitarejeshwa tena...
  3. B

    Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    Kweli Dr Slaa amepotoka sana. Hakupaswa kutumia lugha kama hii
  4. B

    Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Kweli hii huduma ilipoanzishwa ilizingati ubora na wengi iltupa matumaini ya kuleta mageuzi na ustaarabu wa usafiri wa umma mijini. Wengi tuliamini matumizi ya usafiri binafsi utapungua
  5. B

    Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Umeelezea vyema. Yaani usafiri wa daladala ni bora zaidi kuliko huu wa MWENDOKASI. Natamani CEO wake Dr Mihede akague vituo na mateso wanayopata abiria na baadae ajitafakari.
  6. B

    Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

    Haya ni mengi sana Lushoto. Dar yanauzwa njia ya watembea kwa miguu mkabala na makao makuu ya SIMBA S.C. pale Msimbazi. Lakini mda wa jioni
  7. B

    Wajue waliokuwa Wajumbe wa bodi ya TRC iliyovunjwa

    Prof. Kondoro namfahamu tangu akiwa UDSM miaka ya 1980 hadi alipokuwa Mkuu wa DIT na baadae kustaafu. Ni msomi makini na mwenye maadili mema. Nadhani kuna jambo nyuma ya pazia.
  8. B

    Wajue waliokuwa Wajumbe wa bodi ya TRC iliyovunjwa

    Yes, tena baadhi ya wajumbe wa bodi ya TRC walianza kuitumikia bodi hii mwezi February mwaka huu wa 2023.
  9. B

    Tanzania tuna hali ngumu lakini wenzetu Kenya Wana hali ngumu zaidi Serikal yashindwa Kulipa Mishahara!

    Umeeleza vizuri sana hususan suala la '' consumption economy''. Kwa kuongezea ni kwamba serikali inaweza hata kutoa chakula bora kwa shule zote za msingi. Hili linawezekana kama tukijipanga na kudhamiria.
  10. B

    Rais Samia, tunaomba ziara ya kikazi mkoa wa Dar es Salaam hasa hasa wilayani Ubungo

    Hasa hasa barabara ya Mbezi hadi Mpigi majohe na ile ya Mbezi hadi Darajani
  11. B

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    kweli tangu ljumaa ya tarehe 27 hadi 29 Januari ktk maeneo ya Kibamba na Mbezi mshikamano maji yalikuwa ya tope kabisa. Tunaomba sababu na kama maji hayo yana madhara
  12. B

    Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

    Well said. Mfano mwingine ni wa walimu wa kiswahili katika vyuo vya nje, wengi ni wakenya tena kwa mbali ukilinganisha na watanzania.
  13. B

    Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

    Tatizo ni hilo hilo. Hawajielimishi na hivyo wana mitizamo finyu. Badala ya kujadili issues wao wanajadili personalities.
  14. B

    Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

    Tatizo la watanzania wengi ni kutopenda kujielimisha.
Back
Top Bottom