Search results

  1. Michael Dalali

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Aibu kwa mwanahabari kuchochea kufungwa kwa chombo cha habari! Akili haioni hata endapo chombo hakiendi sawa kuitwa kukanywa? kusahihishwa? kuandikiwa barua za onyo......lakini akili inakimbilia kubariki kufungwa kwa vyombo vya habari!
  2. Michael Dalali

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Hakika ni pengo hasa kwa wapambanaji. Alikuwa mpambanaji kupitia taaluma yake ya udaktari wa magonjwa ya moyo kuhakikisha anachangia kubadilisha Tanzania inakuwa mahala bora. Licha ya jitihada zake kukabiliana na changamoto nyingi hakurudi nyuma. Alizidi kusonga mbele (hapa ni funzo wa watu wa...
  3. Michael Dalali

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Hili ndilo suala la kuwekwa zaidi mkazo na msisitizo. Kuna haja kuu ya kuhakikisha kuna kuwa na idadi ya madiwani wa kutosha katika Halmashauri ya Kinondoni (na si Jimbo la Ubungo pekee).Kwa kupata madiwani wa kutosha ndipo baadhi ya maamuzi yasiyo ya tija hayatapita kwa kigezo cha wingi wa kura...
  4. Michael Dalali

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Tunapaswa kutambua (endapo kama atufahamu au makusudi tunataka kupindisha ukweli) Mwakilishi wa wananchi Bungeni ni jukwaa moja kwake la kutenda kazi likifatiwa na Halmashauri husika. Hivyo tunapaswa kupitia hansards na kupima nini jitihada za Mwakilishi tajwa (Mnyika) katika suala mathalani la...
  5. Michael Dalali

    Elections 2010 Tamasha la Kuhamasisha Kupiga Kura, Oktoba 23 DSM

    WanaJF, Asasi ya vijana ya Tanzania Youth Vision Association-TYVA kupitia mradi wao wa Kijana na Kura Yako 2010 baada ya kutembelea mashuleni na vijiweni katika mikoa ya DSM, Pwani, Dodoma, Kilimanjaro, Tanga na Arusha sasa inaleta matamasha ya wazi kwa wananchi hususan vijana. Oktoba 23...
  6. Michael Dalali

    Elections 2010 Tutafakari hili kidogo

    Mmmh nina mashaka sana na hilo. Kuna haja ya kulifatilia kwa kina, kwani hakika wananchi wengi wanaweza wakawa wanaingizwa mkenge pasi kujua athari kubwa itakayowafika mbeleni. Wapi washtaki?wapi waripoti matendo kama hayo?-ni maswali ambayo wananchi wengi hujiuliza. Amka: nenda katika...
  7. Michael Dalali

    HakiElimu vs Govt: The saga

    Hali waliyowasilisha ni ya ukweli na si kwa kiwango cha shule za sekondari tu hali ni mbaya kwani ipo ivo ivo mpaka vyuo vikuu thus the reality....watu wanamisingi mibovu sana toka chini matokeo yake hadi vyuoni....ni huruma jamani inabidi kuchangamkia hili
  8. Michael Dalali

    Let's face it: Bongo Flava ni rubbish

    Nabisha hodi, Sijaipenda kichwa cha mjadala huu kwani ni kizito sana. Bongoflava pamoja na mapungufu yake lakini haijafikia kikomo cha titled rubbish...tuangalie hata upande mwingine kwa kweli umetoa ajira kwa vijana wetu kwa mapana yake kuanzia kwa wasanii, mapromota, nk Kuna mapungufu...
  9. Michael Dalali

    Kuna tofauti kati ya Bongo Flava na Hip Hop

    Nami nabisha hodi katika mjadala huu, aina hizi za muziki yaani HipHop na Bongoflava ni mkanganyiko kwa kiasi fulani hasa pale wadau[hasa wa HipHop wanapotaka kutambuliwa zaidi] hapo ndipo sekeseke linaanzia. Kwa mtazamo wangu HipHop imekuja baada ya kucopy na kufanya marekebisho kufuatana...
  10. Michael Dalali

    Mbeya waichezesha kwata CCM - Mawaziri wazomewa

    Umenivuta hisia kama wewe mwandishi wa habari kwani maelezo ni yakina.Na Hamna swali bwana MUSHOBozi
  11. Michael Dalali

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Cant we get some new blood? i mean the youth? Tunahitaji divai mpya iwekwe na tena ndani ya kiriba kipya for the sake of our country.
Back
Top Bottom