Search results

  1. P

    Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

    Nami najua zipo nyingi ndo mana nikauliza ni ipi kubwa hasa kati ya hizo nyingi?
  2. P

    Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

    Nlotaka mnitajie sio nloshuhudia ila ni sababu ipi inayoongoza katika kufanya mahusiano yavunjike?
  3. P

    Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

    Najua zipo nyingi na ndo nilizoshuhudia lakini cjajua ni ipi inayoongoza? dats my question
  4. P

    Hii ni nini na tiba yake ni nini?

    Hongere kwa kuwa na familia salama na pole kwa matatizo. mi nadhani ungejaribu kumpeleka tena hospital kwa wataalam zaid wanaweza kumbadilishia dawa kwani sio dawa zote zinazoponya. Usikate tamaa atapona.
  5. P

    How do you Sleep with your Partner??

    mi nimekuchgulia picha ya mwisho upande wa kulia hope hiyo itawapendeza wote.
  6. P

    Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

    Hapo kwanza kuna gharama za aina mbili. moja ni gharama za maandalizi ya hiyo mechi unaweza kuita mtaji( initial capital) ambazo huyo Mr ndo alogharamia. pili ni gharama za mechi yenyewe ambazo ziko shared na wote wawili hivyo basi Mr anafaa kulipwa gharama za awali kwani raha wamepata wote...
  7. P

    How do you Sleep with your Partner??

    :target: aaanhaa!!!! hapo nimekusoma hope ladies wa jf watakusaidia alot ktk tatizo hili.
  8. P

    Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

    Ningependa kufahamu ni sababu gani ambayo inaongoza kwa couple nyingi kuvunjika? kwani niliyoyashuhudia yanaweza kuwa ya kufungia mwaka.
  9. P

    How do you Sleep with your Partner??

    usistuke bro kama vipi mwambie akufundishe mwenyewe kwani huyo ndo mpenzi wa kweli.
  10. P

    How do you Sleep with your Partner??

    Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.
  11. P

    Hili la ongezeko la umeme ni wapi wanasiasa wanaipeleka nchi yetu?

    Tamko la shirika la umeme nchini kuongeza gharama za umeme kwa asilimia 18 lililopigiliwa msumari na Rais wetu wakati wa hotuba yake ya kuuga mwaka ni pigo kubwa kwa wananchi na hasa wale wa chini( last consumer). ikiwa miongoni mwa malengo ya serikali ni kuhakikisha kuwa wananchi wengi...
  12. P

    Wangapi wanakubaliana na hili?

    Kama wao ni free spirit bado haiwapi uhuru wa kufanya lile lililo kinyume na mila na tamaduni zao. labda tungejua mila zao zinasemaje juu ya hilo.
  13. P

    Ujumbe wa Mwaka Mpya 2011 Ulionivutia na Kunichekesha

    Hiyo ilikuwa kali. hembu sikia na hilo swali nililoulizwa la kufungia mwaka labda mnaweza kunisaidia majibu. swali lilikuwa hivi, MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA SECTION G: Swali la 5 marks 60 Muda dk 10. a)Kama hela hazioti kwenye miti kwa nini benki zina matawi? b)Kwa nini gundi haigandi kwenye...
  14. P

    Greetings

    Hellow am delighted to be among the part of this community hope i can share with you the life experience. HAPPY NEW YEAR TO U ALL.
Back
Top Bottom