Search results

  1. P

    Sababu zinazoweza fanya Mkatoliki asizikwe na Padre au Askofu - Askofu Amedeus Msarikie (RIP)

    Kuna misa ya mazishi na ibada ya mazishi! Bahati mbaya au kwa kutojua umefanya kuwa kitu kimoja! Kwa mfano katekista hawezi ongoza misa ya mazishi!
  2. P

    Tupeane maujanja ya Excel

    SUMIFS(Select Column yote ya Client Name, Select Client Name eg "Hass, Select column yote ya Fuel, Type "Diesel", select column yote ya Amount)
  3. P

    Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

    Ni 6 Jan ambapo kanisa katoliki la magharibi (Latin church) husherehekea epiphany au tokeo la bwana ndio kanisa katoliki la mashariki Eastern Church husherehekea Christmas. Tafsiri yao siku hii ya Jan 6 ndio Yesu alijidhihirisha kwa mataifa yote kupitia kwa wale mamajusi!
  4. P

    Naomba ushauri wa kuanzisha darasa la mafunzo ya computer

    Ni wazo zuri sana. Watanzania wengi hawapiti kwenye hizo formal systems. Wengi wa watz hujifanya hujua kila kitu lakini ni kinyume chake. Binafsi nina kituo kama wazo lako na kila mwezi nafundisha walau corporate moja hasa watu wa mabenki, na taasisi za serikali! Cha muhimu wewe hujue hizo...
  5. P

    Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Alama 4 za kanisa la kweli Unam Sanctum Catholicum Apostolicum
  6. P

    Elimu kuhusu Padre na Upadre wa kanisa Katoliki

    Hivi unamaanisha malezi ya padre wa kanisa katoliki au malezi ya mapadre wakatoliki wa Tanzania? Huko Kenya hakunaga Form V na VI ila na wao wana mapadre wakatoliki! Katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam hakunaga kitu kinaitwa Pre Form One! Na huko Ulaya hakunaga seminary ndogo za Form one mpaka...
  7. P

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    There is not, and there never was on this earth, a work of human policy so well deserving of examination as the Roman Catholic Church. The history of that Church joins together the two great ages of human civilisation. No other institution is left standing which carries the mind back to the...
  8. P

    Viongozi wangu wa Kanisa Katoliki shida nini?

    There is not, and there never was on this earth, a work of human policy so well deserving of examination as the Roman Catholic Church. The history of that Church joins together the two great ages of human civilisation. No other institution is left standing which carries the mind back to the...
  9. P

    Yajue maana ya majina haya ya vyeo vinavyotumika kwa viongozi mbalimbali wa kanisa Katoliki

    Bahati mbaya sana ndugu zangu kwa ufahamu potofu. Hakuna vyeo katika kanisa katoliki. Kuna sakramenti eg upadre ambao una ngazi tatu ushemasi, upadre na uaskofu! Na hizo nyingine ni huduma tu Servo Serverum Dei mbalimbali katika kanisa katoliki. Vyeo vipo serikali huko au kwa watu wa mataifa!
  10. P

    Je, Makardinali ni raia wa Vatican?

    Hapa inaongelewa nchi ya Vatican sio Italy. Kwa raia wengine ili uingie Vatican lazima kwanza upate visa ya Italy Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  11. P

    Je, Makardinali ni raia wa Vatican?

    Mwadhama Polycarp akisafiri nje ya nchi hutumia passport ya Vatican ambayo ni Diplomatic! Kanisa Katoliki halibanwi na mamlaka ya nchi yoyote! Kuna baadhi ya nchi kama Msumbiji kanisa haliruhusiwi kutangaza askofu bila kuishirikisha serikali na serikali ikikataa hatangazwi au atatangazwa kwa...
  12. P

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Mwadhama Rugambwa hakufariki mwaka 1990 check your facts! Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  13. P

    Tupeane maujanja ya Excel

    Sio lazima uwe umezifungua hizo workbooks!
  14. P

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mimi na watu wote wanasafiri hivyo. Pale kibaha kuna tiketi ya 750/- haichanwi pale inakuja kuchanwa Kimara! Mimi nimesafiri hivyo na ndio sbb ya mshangao niliouelezea!!!
  15. P

    Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

    Sio kweli. Msimamizi wa Jimbo la Tanga Pd. Thomas Kiangio yupo Roma kwa Ad Limina Visit. Kwa sheria za kanisa katoliki, askofu mstaafu hawezi kuongoza jimbo wakati wowote, hata kama askofu hayupo, anayefuata ni vicar general!
  16. P

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Ndio ilivyo unalipa 750/- pale Kibaha na tiketi haichanwi unakuja kimara unaendelea na safari ama kwenda gerezani au kivukoni!!! Swali kwani huwezi safiri kwa bei hiyo kutoka kivukoni/gerezani kwenda kibaha? Fanya utafiti kabla ya kuropoka!!!
  17. P

    Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

    Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
  18. P

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Why from Kibaha to Gerezani I use 750/- and I can't do the same from Gerezani to Kibaha?
  19. P

    DSTV ni nyie kweli?

    Mechi ya Asec vs USM Alger imechezwa jana tarehe 10 Mei 2023na matokeo ni 0 - 0. Sasa nyie mnatangaza mechi hiyo ni kesho 12/5 Daaah Dstv kweli ni ya mchongo!
Back
Top Bottom