Search results

  1. P

    Kamishina wa Ardhi Rukwa, Mkuu wa Idara ya Ardhi Sumbawanga na Fagio Auctioner wananyanyasa wananchi Rukwa juu ya Kodi ya Ardhi

    Yaani kwa kusoma tu ulichoandika tu naweza predict mwandishi mwananchi asingeandika habari za msambaza nyaraka wala vibarua kwani hazimhusu ujira mdogo kwa vibarua we mwananchi unakuhusu nini na umejuaje kuwa vibarua wanalipwa ujira mdogo uliiona mikataba yao au unavithibitisho gani kwenye hoja...
  2. P

    Kamishina wa Ardhi Rukwa, Mkuu wa Idara ya Ardhi Sumbawanga na Fagio Auctioner wananyanyasa wananchi Rukwa juu ya Kodi ya Ardhi

    Kwa maelezo yako wewe ndie msambaza nyaraka wa mkoa wa Rukwa na inaonekana ulinyimwa kazi ya kusambaza nyaraka hivyo umekuja kulalamika hapa. Anyway wahusika wataona na kufanyia kazi
  3. P

    Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Kwanza kabisa hakuna mwanadam asiyefanya makosa usijione kama wewe ni mkosaji saana wote kwa namna moja au nyingine tunakosea ktk maisha. Kama unataka kuachana na huyo mwanaume kwanza acha kujilaumu jisamehe halafu fanya maamuzi na uwe tayari kwa matokeo ya maamuzi utakayofanya. 1. Anza...
  4. P

    Nashauri iundwe timu ya wazalendo kuelimisha umma!

    nashauri hiyo tume iundwe baada ya uchaguzi kwa maana hatutawasikiliza watatumika na wanasiasa
  5. P

    Mke wangu ana majini huwa ananipiga hadi nazimia

    francis ole kaparo Ni pm nikupe suluhisho
  6. P

    Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Pole sana mkuu Huyo ana spiritual husband Muulize kama akilala huota kalala na mwanamme na si wewe. Zaidi omba sana hilo pepo ni baya kazi yake ni kuvuruga ndoa na usimame imara laweza kukutoa roho yako ndugu
  7. P

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Du dada umependa..... pole
  8. P

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    Mi naomba kuuliza je huyo mama mlimsimamisha kwa maandishi au kwa mdomo kama kwa maandishi mwambieni huyo mzee amuulize mkewe hiyo barua ya kusimamishwa kazi. Nyie kama Ofisi hamtakiwi kudanganya lakini pia Ki ubinadamu mumsaidie huyo mama mzee mumjibu kwa maandishi kuwa sababu za kusimamishwa...
  9. P

    Madaktari watatu kutoka china ujerumani na tanzania wakijadili mafanikio

    UUUUUUUUUUWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbavu zangu! na mpaka hii miaka iishe tutakoma.
  10. P

    Mtandao wa ngono!..

    sioni tatizo la kukwaa kijiji kizima bali tatizo hapa litakuwa ni foleni kwa babu loliondo
  11. P

    changanyikiwa

    ushawahi changanyikiwa nini
  12. P

    Kada CCM: Serikali ndiyo inayochochea machafuko

    well said balozi kimsingi hapa serikali inatakiwa kutatua haya matatizo na si kuzuia maandamano. maandamano haya yanatakiwa kuungwa mkono hata na kikwete mwenyewe na wanasisiem wote. kwani maada zinazozungumzwa huko ni uhalisia wa maisha ya watanzania na si awanachadema. mfumuko wa bei za...
  13. P

    Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

    He kumbe mikusanyiko ya CDM ilikuwa inawapa homa du!! ndio maana siipendi CCM mnaacha kufanya vitu watanzania tuone, mnakusanya watu kutoka maeneo mbalimbali na kuwahonga kwa pesa na kufanya usanii wa teknolojia kuwaonyesha watanzania kuwa mnapendwa. na kwa vyama vya upinzani mnakata picha...
  14. P

    Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

    Asante Fatma nitatumia hiyo dawa
  15. P

    Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

    Asante sana PASCAL kwa kunitia moyo ni kwamba huu ugonjwa usha niathiri kisaikolojia hivyo nashindwa kufanya kazi ki ufasaha, kiakili huu ugonjwa umenichanganya pia viungo vinashindwa kufanya kazi kwa sababu ya maumivu na kazi yangu inahitaji nitumie nguvu ikiwa ni pamoja na kutembea sana.
  16. P

    Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

    asante sana kwa maelezo yako je kuhusu haya maumivu ya macho pia yanasababishwa na huu ugonjwa? yanauma kama vile nimeingiwa na mchanga na wakati mwingine sioni vizuri kama vile kuna machozi.
  17. P

    Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

    Ndugu wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kwenye joints za miguu na mikono nilivyopima nikaambiwa nina ugonjwa unaoitwa rhematoid arthritis na nikaambiwa kuwa ugonjwa huu hauna tiba na sasa maumivu yanazidi, kila nikipata dawa hazinisaidii nishachoma sindano ya panedu lakini haikusaidia...
  18. P

    kufumania

    Nitaomba samahani kwa kuwashtua then nitatoka
Back
Top Bottom