Search results

  1. D

    Kuna uhusiano gani kati ya damu ya hedhi na mboga/majani kukauka?

    Ndugu naomba ujiridhishe na hiyo mistari aliyoisema ndivyo ilivyo kwenye kitabu?
  2. D

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    nakushauri wewe na wengine mkalipie bank huko kwingine ni shidaaaa.
  3. D

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    dah! issue ya visa pale ubalozi sio mchezo.., jiandae kifedha upande wa visa application na pia kisaikolojia, kukataliwa visa ndio kukubwa kuliko kupewa hasa kwa vijana. visa zinazotoka bila shida ni aged people kama mama yake huyo aliyekualika. nakutakia mafanikio mema.
  4. D

    Sinagogi hili la Siloam Ministries

    kwa shauku ya kujua kuhusu ili kanisa lipoje, siku moja miaka ya 2006 niliingia la pale external, wanatumia kitabu cha mormons unaweza kufuatilia kwa undani imani ya wa-mormons.
  5. D

    Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

    ni kweli huwezi kuwa na huruma kwao ni mpaka utakapoelewa tupo katika wakati gani. kuaminiana kumepungu sana, marafiki, ndugu au walio karibu yako wanaweza kukutumbukiza katika majanga bila kujua.
  6. D

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Hiyo T-shirt ina nembo ya PPF sioni neno CUF
  7. D

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    wanatokea au kukaa mkoa gani? nijuavyo wa-tz wana makabila mengi na kabila hizi zina utani kati ya moja na nyingine, je watusi wana watani wao katika huo mkoa wanaotoka na ni kabila lipi?
  8. D

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    csee 2012 examination results s3812 buna secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld = 95 csee 2012 examination results s1875 ishimwe secondary school div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 23 div-iv = 81 fld = 24
  9. D

    Baba bora kwenye familia ni yule mwenye sifa zipi?

    baba bora ni mwenye upendo na familia yake.
  10. D

    Azania Secondari imebinafsishwa?

    watoto wa sasa wanamaliza darasa la saba na wanaingia sekondari wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na huko nyuma, hivyo sidhani kama wataweza kufanya hiyo kunji.
  11. D

    Tetesi: Airtel kubadilika tena!!!

    kama itakuwa kweli! sijui ile ndoa kati ya TTCL na AirTel ambayo serikali watupa matumaini ipo katika hatua nzuri ya kuivunjwa kama itawezekana tena.
  12. D

    Mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi baharini

    duh! yote hiyo ni tishio la uhaba wa chakula linalotunyemelea.
  13. D

    Polisi yazuia Operation Sangara ya CHADEMA Morogoro kisa hakuna Askari

    kwa wakati huu tulionao biashara matangazo, pia mfuate mteja alipo si kusubiri aje. kalaghabao!
  14. D

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    tunapambana kwa kujificha kwenye chandarua! hii kali.
  15. D

    Ni uwendawazimu kupandisha bei ya mafuta ya taa, maji

    kwanini wachukue complicated solution wakati kuna simple solution? halafu haiwaumizi mifuko yao, kazi kwetu walalahoi.
  16. D

    Mshahara wa mtu mwenye master degreee......msaada plse!

    si ndio wafanyakazi hewa wanapopatikana hapo? sasa mshahara wako sijui nani anachukua maana kumbukumbu kuwa ulisha-sepa hakuna.
  17. D

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Viongozi wengi wa Afrika ni wanafiki ile mbayaaaaaa, hawaoni ama wanaona kwa kuwa wanajali matumbo yao, ubinafsi umewajaa mpaka wanatia hasira. Gadafi ameachwa peke yake hakuna wa kupigia kelele unyama na uharibifu unaotendwa na hawa manyang'au kule Libya.
  18. D

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Pole sana na endelea kufikiria hivyo.
  19. D

    CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

    kutotoa taharifa kweli ni vibaya na mimi kama mmoja wapo naomba mnisamehe. Kuna mtu nilimwomba aniwakilishe na pesa nikamwachia pamoja na minutes za kikao nikasafiri, niliporudi akaniambia hakuja, na kwa kweli hakuwa na sababu iliyoniingia akilini. Nashukuru mlifanikisha vizuri na nawapa hongera...
Back
Top Bottom