Search results

  1. M

    Hivi hakuna namna hii Kesi ya Halima Mdee na wenzake ikamalizwa nje ya mahakama ili kulinda heshima ya muhimili huo?

    Usilinganishe Kenya na Utopolo wa Tanzania. Hii kesi ya hawa Covid-19 haitaisha sasa hivi. Itaisha baada ya Bunge kuvunjwa mwaka 2025 na tayari wakiwa na mpunga wao mkononi
  2. M

    Naomba msaada wa kupata tiba ya pumu ya ngozi kwa ndugu yangu

    Hii dawa ameanza kutumia juzi. Daktari alituandikia
  3. M

    Naomba msaada wa kupata tiba ya pumu ya ngozi kwa ndugu yangu

    Hili tatizo analo pia mtoto wangu wa kike wa miaka 6. Lilimuanza akiwa na kama wiki moja yangu azaliwe. Anateseka sana. Akianza kujikuna hadi damu zinatoka. Tumetumia dawa nyingi sana za hospitali za kumeza na za kupaka, bado hatuoni mafanikio. Hii inamuathiri hata shuleni. Watoto wenzake...
  4. M

    Upinzani Vs CCM: Umebaini nini?

    Binafsi siwaelewi kabisa CCM. Inabidi uwe na akili kama za Prof Palamagamba Kabudi ili uweze kuielewa CCM
  5. M

    Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Perimeter, Nimekuelewa sana aisee!! Umeandika kwa uchungu lakini kwa msisitizo mkubwa. Asante sana
  6. M

    CHADEMA, Lissu, wanaharakati na wapenda haki wengine lini mtafungua kesi kupinga Tundu Lissu kuvuliwa ubunge?

    Muda unazidi kwenda baada ya jimbo kutangazwa kuwa wazi. Mchakato wa kumpata mrithi umeshatangazwa na baadhi ya vyama vya siasa vimeanza harakati za kuliwania jimbo lililokuwa linashikiliwa na Lissu. Katibu Mkuu wa Chadema Mashinji katika press release yake alieleza kuwa, ameagiza kurugenzi ya...
  7. M

    SHERIA INASEMAJE KWA MTUMISHI WA UMMA KUWA NA KESI YA JINAI MAHAKAMANI NA KUENDELEA KUFANYA KAZI?

    Ni discretion ya mwajiri wako na wala sio suala la Sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Tuliompa Lowassa kura zetu tukutane hapa tumueleze kuwa "Kumpa kura Magufuli ni ndoto ya mchana"

    Nilimpa kura Lowassa kwa kuwa nilikuwa namkubali sana. Nilianza kumkubali Lowassa tangu akiwa Waziri katika serikali ya Mzee Mwinyi. Nimemuunga mkono Lowassa kwa miaka yote, nilimuunga alipokuwa CCM na nilimuunga alipokuwa CDM. Nilikuwa katika kundi la 4U Movement. Tulizunguka nchi nzima...
  9. M

    Hivi kazi ya TAKUKURU ni nini, kila aina ya biashara na shughuli ya kiofisi wanakagua je wamekubaliana na vitengo vingine.

    Nadhani kazi yao kubwa ni kuzuia na kupambana na rushwa. Kuhusu kuitwa Takukuru huyo mtu mwenye leseni ya biashara, nadhani ni suala la kiuchunguzi tu. Maana inawezekana leseni hiyo ya biashara ni halali ila imepatikana kwa njia ya rushwa i.e kuna hongo ilitumika, au aliyeitoa hakuwa na mamlaka...
  10. M

    Mpaka sasa Tundu Lissu anaongoza kwa 3-0

    #Hii match bado ni Ngumu si Rahisi kama watu wanavyotaka kuirahisisha. Makundi mbalimbali ya watu wameanza kufunga Hesabu. Kufunga Hesabu kwa maana ya kuchagua Upande. Kuna ambao wameshaamua kuchagua Upande wa Lisu na wengine wa Serikali. Kinachofanyika kwa Lisu ni kampeni ya kuendelea kupata...
  11. M

    Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

    nimekupata vizuri sasa. Kumbe mimi basi napenda kifo cha mende na maboresho yake yoote. na siku ikitokea ukanipa Evelyn Salt, basi unipe kifo cha mende au maboresho ya kifo cha mende
  12. M

    Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

    Napenda sana kifo cha mende kuliko staili yoyote ile. Mke wangu na michepuko yangu yote huwa natumia kifo cha mende. uzuri wa kifo cha mende ni kuwa, kifo cha mende ni staili pekee ambayo inaruhusu mbo....iingie yooote na kama kungekuwa na uwezekano, hata mapumb.... yangeweza kuingia. pia kifo...
  13. M

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Shamba lipo kijiji gani? Nina imani kuwa, tukiongea hatutashindwana
  14. M

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Kama heading ya thread inavyosomeka, msimu ujao wa Kilimo, nataka kulima/kupanda mahindi. Nilifika mji wa Kibaigwa katika soko kubwa la Kimataifa la mahindi na nilipouliza mahindi yale yanatoka wapi, nilijibiwa kuwa yanatoka wilayani Kiteto. (Bahati mbaya, nilisahau kuuliza specific maeneo gani...
  15. M

    Msaada ndugu zangu! Nipo Moshi, nahitaji samaki wa Maji Chumvi/bahari

    Wa supermarket wamekaa sana. Samaki anakaa miezi miwili hata ladha ya samaki inaisha. Ila nashukuru sana Baba Heri
  16. M

    Msaada ndugu zangu! Nipo Moshi, nahitaji samaki wa Maji Chumvi/bahari

    Habari ndugu. Aisee, nimemiss sana samaki wa maji chumvi. Nipo Moshi, naomba kama kuna mdau humu www.jamiiforums.com ambaye ni mwaminifu tuongee nae, na tukikubaliana aweze kunisaidia kuninunulia na kunitumia samaki wa maji chumvi, wakiwa wabichi. Nahitaji hata kama watajaa ndoo ndogo. Wadau...
  17. M

    Kikwete: CCM tukiishi kwa kutegemea Polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli

    Katika kujadili, tusisahau kauli aliyowahi kuitoa Rais Mstaafu Mhe Mzee Kikwete kuwa "napenda mfahamu ndugu zangu (wanaCCM) kuwa, tukiishi kwa kutegemea jeshi la Polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli".
  18. M

    Nakutakieni mwaka mpya mwemaaaa (2018).

    Kama Huyo katika picha ni wewe Beauty Eva, sidhani kama nitakuwa nimekukosea nikisema..wewe ni mzuri sana. Dental formula yako, inauwakilisha uzuri wako. Wishing you happy 2018
  19. M

    Una kila sababu ya kuhudumiwa kiwanja/nyumba/shamba dodoma na good neighbour

    Nahitaji mtu atakayenikopesha tiles. Nina kibanda changu Nkuhungu.
Back
Top Bottom