Search results

  1. mangimkuu

    Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

    Kwa mtazamo wangu mimi naona serikali ya ccm inaunda bomu kama lililolipuka huko Zimbabwe baada ya wananchi kugundua kwamba ardhi ya Zimbabwe ni mali ya wazawa waliishikiza serikali ya Rais Robert Mugabe kuwaruhusu wananchi kuvamia wawekezaji wa kigeni na kurejesha ardhi ya wazawa mikononi mwa...
  2. mangimkuu

    Jk kukutana na chadema

    Kweli watanzania tuna uelewa finyu, hivi inawezekana mtu kuchochewa kufanya vurugu bila sababu !!!!!!! Tuache kuzungumza kwa unazi wa chama. Inatupasa tuelewe wazi kwamba vurugu za Arusha chanzo chake ni mabavu na ukatili wa serikali ya CCM kwa kutumia vyombo vya dola yani jeshi la polisi...
  3. mangimkuu

    Propaganda za ccm na mustakabali wa taifa

    Mimi pia nashangazwa na lawama zinazotolewa na viongozi mbalimbali wa CCM kuhusu maandamano ya amani yanayofanywa na CHADEMA. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hotuba zilizokuwa zinatolewa na viongozi wa CHADEMA katika mikutano ya hadhara iliyofanyika huko kanda ya Ziwa. Sijawahi kusikia...
  4. mangimkuu

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Mimi sishangai kwa kitabu hicho kupigwa marufuku, hili linawezekana kabisa kwa viongozi tuliona katika serikali ya sasa, haswa pale inapoonekana kwamba inakosoa, inafichua au kuumbua utendaji kazi wa viongozi walioko madarakani. Mbaya zaidi ni pale inapoonekana kwa kilichopo ndani ya kaitabu...
  5. mangimkuu

    Pinda: Dowans hatuirudishi bungeni

    DUH !!!!!!!!! HAPA TUMEKWISHA Nashindwa kupata jibu nani anazungumza kwa niaba ya nani, kwani wote waliotangulia kila mmoja anatoa kauli tofauti kama vile ndio kwanza jambo hili limifika mezani kwake. Naanza kwa kuzungumzia kauli ya waziri mwenye amana, mh Ngeleja ambaye alisikika akisema...
  6. mangimkuu

    Pinda: Dowans hatuirudishi bungeni

    DUH !!!!!!!!! HAPA TUMEKWISHA Nashindwa kupata jibu nani anazungumza kwa niaba ya nani, kwani wote waliotangulia kila mmoja anatoa kauli tofauti kama vile ndio kwanza jambo hili limifika mezani kwake. Naanza kwa kuzungumzia kauli ya waziri mwenye amana, mh Ngeleja ambaye alisikika akisema...
  7. mangimkuu

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Kwa akili ya kawaida ya kibinadamu nashindwa kuelewa huyu mtu aliye anzisha huu mjadala anamwakilisha binadamu wa aina gani !!!! je anamuwakilisha muislam wa taifa lipi, sidhani kama anamuwakilisha muislamu wa Tanzania? Nchi ambayo haina udini wala ukabila !!!!!!!!! Sipati picha, mbona...
  8. mangimkuu

    Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

    Kwa akili ya kawaida ya kibinadamu nashindwa kuelewa huyu mtu aliye anzisha huu mjadala anamwakilisha binadamu wa aina gani !!!! je anamuwakilisha muislam wa taifa lipi, sidhani kama anamuwakilisha muislamu wa Tanzania? Nchi ambayo haina udini wala ukabila !!!!!!!!! Sipati picha, mbona...
  9. mangimkuu

    Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

    Hawa wamemuwakilisha nani? Hayo ni maoni yao binafsi na siyo maoni ya waislamu wote, nafikiri sasa watu wanatafuta mahali pa kuanzishia mijadala ya kitoto, kwa akili ya mtu mzima nashindwa kukubali kama kuna viongozi wa kiislamu wanaoweza kutoa madai kama haya. Hawa ni walafi tu wa madaraka na...
  10. mangimkuu

    Uongozi Wa Chadema Mbofumbofu !

    Kama JF itaendelea kuandikisha wanachama bila kuangalia CV zao basi wote tutaonekana wahuni tu. Siamini kama mtu na akili zake timamu anaweza kuchangia mawazo kama haya ya huyu ndugu anayejiita Bull. Ningemshauri huyu bwana afanye uchunguzi wa kina ili kujua CVS za viongozi wa juu wa CHADEMA...
  11. mangimkuu

    Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

    Ninashangazwa sana jinsi wananchi wengine wanavyotumia uchama katika kuficha ukweli wa mambo. Nimuhimu tukatanguliza uzalendo mbele badala ya kuweka imani ya chama katika kuzungumzia swala la mauaji ya kinyama yaliyotokea Arusha. Unapozungumzia uongozi wa juu wa CHADEMA ndio ulio hamasisha...
Back
Top Bottom