Search results

  1. H

    PENDEKEZO LA WASTANI: Tusiishie kutengana kwenye kuchinja; tutengane kwa kila kitu...

    Huo ni uchochezi unauma na kupulizia tengana ww na ndugu zako kwanza
  2. H

    Range:LIBOLO wataona moto mechi ijayo!.

    Chezea libooooolo wewe
  3. H

    Hali ya Siasa Nchini

    Kwa mtaji. Huu ccm itabaki kuwa ccm.CCM nambari wani mtake msitake
  4. H

    Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

    Una hakika kuwa waislam ni wahusika wa mauaji subirini jeshi lifanye uchunguzi wake ili kuwatia mkononi wauaji na si kuropoka tu kumbuka padri naye alikuwa binadam hatuwezi jua kilichojificha kuhusu mauaji haya.Watanzania acheni dhana
  5. H

    Radio imaan na sakata la kuchinja

    Hivi ww unamjua shetani au unaropoka tu ----- wewe
  6. H

    Rejea kutoka: Natafuta Mke tarehe 20-3-2012

    Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na walengwa wengi niliowasiliana nao kukosa umakini(seriousness) katika suala hilo.Asanteni sana
  7. H

    Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

    Pole sana ila nasikitika bado tuna mijitu mingi katika jamii isiyo kuwa na hisia pindi wenzao wanapopata matatizo
  8. H

    Natafuta Mke

    Nafanya kazi kitengo cha Marine@Asprin
  9. H

    Natafuta Mke

    Hilo nalo neno Bumpkin ila ni kweli nipo serious kwa hili na wala si utani naamini kupitia mtaandao wapo walio na tabia njema
  10. H

    Natafuta Mke

    Nashukuru Yaser natumaini unayelewa vyema mazingira ya bandari
  11. H

    Natafuta Mke

    Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke wangu.Awe muislamu,umri kuanzia miaka 22 mpaka 28,Elimu angalau kuanzia kidato cha nne,awe mrefu...
  12. H

    Vurugu

    Polisi Arusha wapo sahihi jamani tusiichoke amani kwani ikitoweka kuirudisha sharti damu imwagike
Back
Top Bottom