Search results

  1. Masakata

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Sitta tunashukuru kwa mchango wako kwenye nchi hii,maana nasikia upo bungeni toka miaka ya 1970,ni vyema ungewapisha na wengine hasa vijana nao watoe mchango wao kwa nchi hii.Binafsi nikushuruku kwa mchango wako hasa kwenye bunge la Tisa, Kwa sasa, nakusahauri ubaki kuwa Mshauri kwa kizazi...
  2. Masakata

    TANESCO, Watanzania si wajinga, washeni Mitambo ya IPTL, tunataka umeme hatutaki maelezo

    Umeme shida,maji shida,huduma hospitalini mbovu,elimu nayo shida,..CCM ikirudi madarakani, kweli itabidi Watanzania tukapimwe uwezo wetu wa akili..
  3. Masakata

    Wacheza mpira wa miguu wenye majina ya ajabu

    Daudi Kufakunoga
  4. Masakata

    Msekwa amshukia Kingunge

    Hongera sana Mzee Kingunge kwa kusema kwamba"Mfalme yupo UCHI'',...Historia itakukumbuka!
  5. Masakata

    Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Nadhani ulitaka kuandika,kama Nyumbu wa Serengeti N/Park mkuu!
  6. Masakata

    Usahihi: Mazungumzo yanaendelea vizuri

    Safi na tunashukuru kwa taarifa iliyojitosheleza Kamanda!
  7. Masakata

    Wanawake kushirikiana na mashoga

    Jamani,ngojeni basi mwezi hata ufike Chalinze,mwee
  8. Masakata

    Prof. Mwandosya amwomba Lowassa kumuunga mkono

    ...inaonekana katika hiyo team yenu,wewe FUNGU lako ni kUBWA,maana una nguvu kweli!
  9. Masakata

    Makala ya Msaidizi wa Nyerere, Mandela mgogoro wa Burundi

    ..ni makala nzuri,tatizo ni hiyo lugha iliyotumiwa,sidhani kama wachangiaji watakuwa wengi,ila ngoja tusubiri..
  10. Masakata

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    ..Mh Jaji,mfumo ovu wa CCM utaweza kuubadili au wenyewe ndio utakubadilisha?..kila la kheri lakini
  11. Masakata

    Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

    Dah,umenikumbusha mbali sana kiongozi,alikuwa pia ni kiboko ya vikojozi!!
  12. Masakata

    Yanayojiri bungeni Dodoma leo tarehe 27 Mei, 2015

    ...Mr Magufuli porojo na hekaya zako,zimefikia ukingoni,hata wabunge wenzio wa CCM,wanakuona muongo,refer jana Idi Azzan,Mbunge Kinondoni alivyosema haliridhishwi na majibu yako..
  13. Masakata

    Yanayojiri bungeni Dodoma leo tarehe 27 Mei, 2015

    ..CCM hakuna msafi!
  14. Masakata

    Swali la ugomvi: Mnamtaka Lowassa tu au Lowassa na CCM yake?

    Na huku watu kukaririshwa na kuimba kama KASUKU,ndio ninapoona bado tunasafari ndefu sana,ili kuipata Tanzania ile yenye neema na usawa kwa wote
  15. Masakata

    Mbunge wa Bahi Omary Baduel ameshinda kesi ya Rushwa iliyokuwa inamkabili

    Kiukweli inasikitisha sana,kwa TAKUKURU kuangushwa kila kesi inayohusu vigogo hasa wa chama hichi cha KIJANI na wafadhili wao,inabidi sasa tuanze kuhoji MAADILI ya hao waendesha mashtaka ya hii eti inayoitwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
  16. Masakata

    Idd Azan, mwanamume hasusi! Usiliachie jimbo la Kinondoni kwa sababu ya fitina za CCM

    ....duh,kweli tutasikia na kuona mengi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015,hasa kutoka kwa wazee wa Magamba,maana kila mtu anajiona yeye ndiye zaidi,mjanja,tajiri,maarufu,mtoto wa mjini kuliko mwingine kumbe ni uroho tu wa mali..yetu macho na masikio!
  17. Masakata

    Ni waongo wanaodai kuwa Katiba ilipitishwa kiujanja, hii ni katiba bora East Africa- Prof Mahalu

    Kaka,unadhani atasemaje huyu ilihali bwana mkubwa Mkapa,alimuokoa kwenda gerezani,..ila ni aibu sana kwa Prof Senior kama huyu kutoa maneno haya!
  18. Masakata

    IPTL papers now land on Utuoh’s desk

    ....hivi hawa WATAWALA wa CCM,huwa hawaonagi AIBU,hawawaoni wenzao walivyoumbuka wakati wa sakata la EPA na Richmond??..au ndio ajali kazini??.,,sio bure ninyi manyang'au wa CCM!
Back
Top Bottom