Search results

  1. M

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    Salute!!! tinahitaji wajasili kama wewe...wanaoshindwa wakakubali matokeo....sio wanaolazimisha matokeo ya ushindi huku wakijua wameshindwa...Karibu!!
  2. M

    Maximo na soka la watoto

    Namcheki maximo wetu kocha wa wa timu ya taifa wa zamani hapa TBC, akinadi sera zake za kuanzishwa kwa vilabu vya watoto.....huyu jamaa wadau vp kuna umuhimu wa kuwa naye tena???
  3. M

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    tupe ukweli kamili.....ya kweli hayo... au radio mbao hizo???
  4. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    shy rose kuna kijana wake mwingine kampigia kura ndani ya bunge.....hata hivyo hatimaye kaupata ubunge kautafuta long time...
  5. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Tanzania bara: Kimbisa, Adam Omar na Morunya, na Charles Makongoro Nyerere Zanzibar: Mwinyi Abdula na Yahaya Mariam Ussi Upinzani: Kessy Nderakindo na Taslim Twaha Issa Wanawake: Kizigha na Shyrose Bhanji
  6. M

    Inanitatiza kidogo tuzo ya barnaba..mwimbaji bora wa kiume!!

    Ingeleta mantiki endapo barnaba angechukua tuzo nyingine kumfanya awe mwimbaji bora wa kiume...kwa mfano kuchukua wimbo bora wa mwaka nk...hata hivyo pongezi tuzo zilifana.
  7. M

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    ITV watakua hewani muda si mrefu.....twahitaji LIVE YA UKWELI sio maluelue....plsssss
  8. M

    Sauda Mwilima kimeeleweka

    wishing long life and a happy ndoa.....
Back
Top Bottom