Uharo mtupu.
In response to Fatah’s latest statement... Al-Aqsa Martyrs Brigades in the West Bank:
We are ready to arm our people and are siding with the resistance
We reject any government formed under American-Zionist dictates
Those who challenge the resistance must review their accounts...
Chadema hawana jengo lolote wamepanga room 3 upande Mtaa wa Ufipq Kinondoni wanalipa laki 3 kwa mwezi na bado yule Mzee mwenye nyumba analalamika hawalipi kwa wakati kodi.
usipende kuongea uongo na kulisha watu maneni sitaki porojo umesema kuwa mimi nilisema.
huko nyuma ulisema shule sio muhimu kwao maana wana hela.
Ukiniwekea hayo maneno najitoa JF na usipoweka nakuweka kwenye group la mipasho la mashoga. Na sitaki tena kujbizana na wewe.
Hauna hoja nimekambia niwekee bandiko langu ambalo linasema nimesema elimu siyo muhimu umeshiindwa, hicho ulichokileta hamna hayo maneno, hapo niilikujibu wewe ulikuwa unaponda Madrsa, usikimbilie kusema unatukanwa kama umeshindwa kuonyesha wewe ni punguani unalisha watu maneno ogopa sana mtu...
Usiwe kama mtoto wa kike kuja na mipasho sikutukani najaribu kukufundisha ukiweza kuniwekea hayo maneno yangu kuwa nimesema shule siyo muhimu najitoa JF usipoweza kuweka huo ushahidi nakuweka kwenye group la mashoga na naacha mjadala na wewe.
Usilishe maneno wapi nimesema shule siyo muhimu? Halafu unaandika uharo mwingi amabao hauna hoja Waarabu wanajiongoza wenyewe ukuona World Cup Ulaya walikataliwa kuingia Qatar na mambo yao ya kishoga ndege ya Ujerumani iliambiwa igeuze warudi walipotoka hiyo ndiyo kazi ya pesa.
Mada kunuu ni
Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?
Siyo huo uharo uliondika…
Hao Waarabu ambayo mnasema hawana elimu leo hii wananunua miataa huko Ulaya na Marekani club ya Man City, PSG, New Castle, Fullam, sote...
Naana unaongea uharo mwingi picha yako halisi imeishaonekana ni chuki yako kali sana dhidi ya Waislam mambo ya Madrasa yameingiaje hapa? post zangu hata moja sijaongelea dini. Umehama kwenye hoja ya ukmbizi Wewe ni pungauni hauna kitu unachojua. Halafu usiwapangie Palestina cha kufanya...
Wewe ufahamu chochote zaidi ya ubishi hapa kwa ajili ya kupinga bahati nzuri tunawapa watu elimu kupitia wewe unalazimisha wakimbizi wote duniani lazima wapitie UHNCR, pia ufahamu kuwa mpaka upate sifa ya ukimbizi ni process kila nchi na utaratibu wake nchi nyingine mpaka upate makaratasi...
Unaomba data za UNHCR wakupe idadi ya wakimbizi?😂 Utapata hizo data wapiwakati Israel hawataki kufanya kazi na UN pamoja na masharika yote ambayo yapo chini ya UN hili ulifahamu ndiyo maana povu linakutoka na UNHCR🤣
Wewe si unasema upo Ujerumani nimekuwekea habari kutoka Ujerumani pingq nayo...
Wewe na Waisrael wenyewe tumuanini nani? Jarida maarufu la Israel Time of Israel wameandika wanawakimbizi wewe Muisrael mweusi wa Kamachumu Bukoba unapinga🤣
https://www.timesofisrael.com/jewish-refugees-from-israel-find-comfort-in-countryside-retreat-in-hungary/
Coming here for me and for my wife is such unimaginable relief,” said Pletnyov, whose apartment building in Ashkelon was hit by a Hamas rocket as the attacks began. “It’s a comforting place to be.”
The 34-year-old and his family are now living in a state-owned resort, disused for nearly two...
Young refugees from Israel listen to a rabbi in a Yashiva in a Jewish refugee camp in Balatonoszod, Hungary, Tuesday Nov. 7, 2023. The camp, which houses around 250 people, including 100 children, provides shelter for Jewish refugees, some of whom escaped war both in Ukraine and Israel. (AP...
Wakimbizi wa Kiyahudi kutoka Israeli wanapata faraja na urafiki katika kambi ya mashambani huko Hungaria
Soma na hii upate darsa.
https://apnews.com/article/jewish-refugee-camp-hungary-08a3c942cd4477ce81313e8c496c549c
Vitu vingi ufahamu napata wasiwasi na ufahamu wako mambo ya kusafiri. Kwa hiyo kama nchi unayoweza kungia bila Viza huwezi kuomba ukimbizi? Soma sheria za Ureno kwa raia wa Israel.
As an Israeli passport holder, you are not required to obtain a Portuguese visa to visit Portugal for 90 days. But...
Hvi huko Ujerumani unasoma ujinga?
Idhaa ya Kiebrania 12 ilisema kwamba Muisraeli wote anahitaji kuomba hifadhi nchini Ureno ni pasipoti halali, ili kutoa visa ya "mkimbizi" ambayo inaruhusu kuishi na kufanya kazi nchini humo.
Hoja siyo Muisrael anaenda wapi bila viza nani kakuuliza? Waisrarl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.