Search results

  1. N

    Kusini: Wabunge CHADEMA ni vilaza!

    naomba urekebishe kichwa chako cha habari tafadhali hiyo fedheha unayotaka kufanya
  2. N

    Ni kwa nini wanawake wanasamehe sana kuliko wanaume?

    Asanthe...............................
  3. N

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    Aksante asicheze na kitabu kitakatifu cha Mungu Akiheshimu kama anavyoheshimu Kurani.
  4. N

    Ni kwa nini wanawake wanasamehe sana kuliko wanaume?

    Naomba mawazo yenu wana JF ni kwa nn wanawake wengi huwa wanawasamehe wapenzi wao pindi wanapowafumania tena bila shida huku wanaume inakua kazi kuwasamehe wapenzi wenu mkiwafumania?
  5. N

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    Hao wanaintelijensia naona hawakwenda shule kama walipata fununu kwa nn wasingedhibiti mapema hicho kikundi cha waliotaka kufanya fujo? Huyo Mwema na Ukwe wake kwa kikwete ndo umeleta haya kapigiwa cmu usiku na mkwe wake kikwete ya kuzuia maandamano ya wapigania haki na maendeleo ya uma. Balaa...
  6. N

    Juu ya DOWANS: Mwakyembe ashangaa kutaka kulipa matapeli

    JK JIUDHURU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 2mechoka.
  7. N

    Wanawake ambao si waaminifu kwenye NDOA

    Duu hyo haitoshi kuacha simu chumbaniiiiiiiiiii yeye yupo jikoni inawezekana muda wa kuwasiliana ni ule yupo kazini akirudi anajifanya hana tym na simu wakati wanaume walishachakachua long tym. na kama ni house yf yani unatoka saa mbili asubuhi machizi wanazama ndani mida ya saa tatu na wana...
  8. N

    Zito ni vipi!!!!!

    Huyu jamaa nakua simwelewi anampango gani Chadema. Naomba apumzike kwanza na siasa
Back
Top Bottom