Search results

  1. mikatabafeki

    Kwa hili namuunga mkono Rais Zuma wa Afika Kusini

    Siku nyingi sana nimekuwa msomaji wa michango ya watu, ila leo wacha niseme, Deo, unahitaji msaada wa haraka sana wa matibabu ya akili, Ukichelewa tu basi utaokota makopo sio kuda.
  2. mikatabafeki

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Haina shida mkuu wacha ifike hadi episode ya 5 hivi nitakurushia hata kabundle ka mwezi mzima free
  3. mikatabafeki

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Mkuu tengeneza pdf doc utuuzie kupitia link, Mana haya mambo ya kutupia episode kila baada ya siku kadhaa unatuchosha
  4. mikatabafeki

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Ah hahahahahahaaaa hongera mkuu, Ila ungetengeneza pdf tununue kupitia link
  5. mikatabafeki

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Mkuu The Bold Mungu anakuona, please imalizie kabisa hii story tuanze na nyingine, Mamake utadhani naangalia muvi, ila Baba Bite ni mmoja wa The Board, Nadhani dhumuni la kumuua waziri ili wakamilishe mambo yao kiurahisi
  6. mikatabafeki

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Mkuu hapo kwenye movie sishauri, sio kwa waigizaji hawa wa bongo muvi, Ila mkuu Ze Bold hili ni ombi nakuomba utupie walau mara 2 kwa wiki ni utatuuua Mamake sio kwa mtiririko huu aseeh, manina umepangilia matukio nikajihisi naagalia movie
  7. mikatabafeki

    Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    The Bold tena...Akhsante mkuu
  8. mikatabafeki

    Hakuna uhusiano wa kula chipsi yai na upungufu wa nguvu za kiume,

    sawa endeleeni na mashindano yenu ya chipsi yai
  9. mikatabafeki

    Hii haki kweli kwa wasafiri wa uwanja wa Ndege JKN

    nimeshachukua jina na no. ya kitambulisho cha huyo dada, Majibu kesho asubuhi.
  10. mikatabafeki

    Ningekuwa RC, DC, RPC ama DED Jiji la Mwanza Ningejiuzulu

    Ah hahahahahaaa mkuu umenifanya nicheke sana...ni yule ambaye akisimama hakuna anayesimama
  11. mikatabafeki

    Hasira za ma RC,DC na DEDs zitaoshia kwa watumishi wa umma

    ni kweli mana kila mtu atasisita kufanya kazi yake kwenye maeneo ya jamii Sasa atarudi kwa hawa anaoishi nao nyumba moja
  12. mikatabafeki

    Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

    mnara wa babeli
  13. mikatabafeki

    Ningekuwa RC, DC, RPC ama DED Jiji la Mwanza Ningejiuzulu

    hapo kwenye red ni yupi unaemzungumzia wewe???
  14. mikatabafeki

    Rais Magufuli aagiza kusitishwa zoezi la kuwaondoa Machinga Mwanza na wachimbaji wadogo migodini

    Naona mnara wa babeli unajengwa hapa, Lete nyundo mtu analeta spade...
  15. mikatabafeki

    Uzanzibar/Utanganyika/Utanzania ujengewe hoja na sio ubinafsi, umimi na uroho wa madaraka

    Nimefurahi umeeleza kwa kina kwanza ndo ukashusha hayo mashairi yako ambayo kila siku nakukataza. Akhsante,
  16. mikatabafeki

    Viongozi bora wa Afrika siku zote

    Huyo mama kwenye list yangu ningemuondoa, Kwakuwa list ni ya kwako basi naiheshimu
Back
Top Bottom