I know what u mean but was just trying to read btn the lines... to me he looks like someone who knows what he's doing and am sure his game will pick up....what i dislike about all the criticism is that (if i put myself in his shoes) besides the money, it puts too much pressure on him....he has...
It's interesting how u try to put forth ur biased journalistic assumptions in a fairly poised and balanced tone but yet claim authority.... then in the end, u have sort of dichotomous views when u say, for example...
"...so I could be absolutely wrong" – "In short, I'm right"...
No no no! Dj ferry ur totally wrong. kwanza usi - polarise kwamba wasanii wote walioko kwenye umbrella yenu wanawaunga mkono na wale wa sugu ni maadui. Hiyo ni misconception - walioko kwenu wanaganga njaa, lakini kukiwa na secret voting na alternative wata walk out - pili, ninyi kama pioneers...
Naona huyo ruge ni kama ana utoto utoto na ana-rule sababu fani ya bongo flava ni ya "utoto utoto" wasanii short sighted. fani ya mziki haijawa "corporate" kwa upande wa wasanii ni kwa hao mabosi tu. Na ndio maana utoto utoto na vi-bifu kama simba na yanga una play kwao mabosi very well...
moshi si mji wa kukufanya uwe na strategic planning...kitimoto, kibia na nyama choma siku imekwenda! vikao vyao watu wale wale tu mambo ya maniyuuuu na asenoooo. mji hauna changamoto
Big Sun Glassses ni fashion lakini kuna za kiume na za kike. Baadhi ya Ma celebrity wetu wanachemsha. Nimeona wengi lakini cheki hawa hapa. Mmoja wa hawa ni chronic zaidi kwa kutojua men's sun glasses!
Du, huyu " "voluptuous blond" sikujua kama siku hizi kachoka namna hii! Hata u "blonde" wenyewe siuoni sasa!
Hebu tujikumbushe enzi hizo kitu kilipochukuliwa kwa hii picha...
Tanzania ni kubwa sana na kuna wengi wenye uwezo kwa hiyo wapewe nafasi na wawezeshwe kama yeye. Tungependa watu wapya zaidi na si familia zile zile tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.