Search results

  1. isha

    Naombeni mwongozo

    Dah, hapo pagumu sana mpenzi kumcontrol mtu na matumizi ya cm yake hata kama ww ndo unampa hela ya kununulia airtime ili kurahisisha mawasiliano incase of emergencies. Let's just say human beings cannot be tamed, utakua unagombana nao kila siku. Cha msingi ww endelea na hiyo ratiba yako ya...
  2. isha

    Mwanamke mwenzangu, Je ni lini mara yako ya mwisho kuangalia utupu wako?

    Sikumaanisha kwamba mtu asijisafishe sehemu zake za siri, i simply said to most people discussing such matters it is a taboo, watu wanaoneana sana aibu talking about their sexuality & well being.
  3. isha

    Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    Yes that came from Paul and no it wasn't just meant for nuns and priests. Marriage should be a personal choice and whether i decide to have babies or not that's my decision to make, not society's. Tatizo bana "ndoa" imekua so idealized to the extent that it has actually lost it's meaning. Watu...
  4. isha

    Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    I totally agree with your point...Marriage has to mean something to you, and if you decided to get married, it has to be what you want...not what you think you are "supposed" to do....otherwise it won't work and you will never be at peace with your life. Marriage does not guarantee "forever"...
  5. isha

    Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    Sio kama najaribu kujiliwaza or anything ila nachoelewa mm ndoa sio lazima. Hata kwenye bible ipo; 1 Corinthians 7:1-16 Now for the matters you wrote about: It is good for a man not to marry. But since there is so much immorality, each man should have his own wife, and each...
  6. isha

    Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    Thankfully i was not raised that way, instead my mum raised me to be a stable independent woman who would live her life happily whether married or not. Ila ulichokisema ni kweli kabisa haswaa kwenye jamii zetu za Kiafrika, watu wengi sana wamelelewa wakiamini kwamba ndoa ni moja wapo ya vitu vya...
  7. isha

    Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

    Hana number nyingine ambazo watu tunaweza tumia kapa Mpesa ama Airtel money?
  8. isha

    Mmh jamani mke wangu ...

    Not necessarily, mbona wanawake kibao wanarudia maumbo yao ya zamani after childbearing, ila wengine wanajiachia or unakuta ni after effects za birth control methods.
  9. isha

    Imeniuma sanaa!

  10. isha

    Imeniuma sanaa!

  11. isha

    Imeniuma sanaa!

  12. isha

    Daktari naombaa unisaidiee

    It is totally normal kwa mtoto wa kike kutokwa na damu kidogo katika sehemu zake za siri. This is perfectly normal -- it is caused by the withdrawal of the hormones she was exposed to in the womb. It will be her first and last menstrual period for another decade or so. When to Worry About Your...
  13. isha

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    What you are suffering from is "yeast infection". Yeast infections are a common type of vaginal infection that are particularly common in pregnant women. These infections — also called monilial vaginitis or vaginal candidiasis — are caused by microscopic fungi in the Candida family, most...
  14. isha

    Binti katuchanganya mimi na kaka yangu

    Sasa mkuu utafanyaje mapenzi na mtu bila ya kutumia kinga hata kupima hamjapima?! Duh! Watu wengine ni risk takers hadi kwenye uzima wao! Ila usichanganyikiwe, first things first, go get tested then baada ya hapo mengine yatafuata, after all being infected isn't the end of the world, there are...
  15. isha

    Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

    Sasa Senior Boss, shouldn't you be saying these things to her rather than trying to find justification for your wrong doings. Kama kweli unampenda and she's all that to you mtafute, do the right thing and make yourself happy rather than making yourself all miserable. And if you really love her...
  16. isha

    Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

    I totally agree with you hun but love should be a 'two way' thing. You should both be able to share the same feelings and love should be reciprocated, maybe not with the same degree but atleast unakua na uhakika kwamba na ww unapendwa. But putting myself in the lady's shoes i do understand her...
  17. isha

    Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa

    Dah!!! I never imagined that such men do exist!!! She must be a lucky one to have you as her husband and i hope she appreciate it! Big up brother!!!
  18. isha

    57 ways of winning your husband's love....

    Hahahahaaa! I stopped at number 15! Too long and i don't believe in living my life through a manual,khaaaa!:wink2:
  19. isha

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Ndege hiyo imefanikiwa kuruka and as we speak its on its way to JRO!!!
Back
Top Bottom