Search results

  1. S

    Tafsiri ya ndoto yangu

    Kulingana na tafsiri zingine za ndoto za shambani, zinaweza kuashiria uzoefu mzuri kama ustawi, upanuzi, uhuru, au hali ya kiroho Kuonekana kwa nyoka katika ndoto kunaweza kuamsha hisia ya kitu hatari ambacho unahitaji kujikinga nacho. Katika hali kama hiyo, kuua nyoka kunaweza kumaanisha...
  2. S

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Tuache kuandika kishabiki, weka hapa source ya hii habari coz hata Google wenyewe hawamtambui Shekhov Soram, mtu mkubwa kama huyu vyombo vingi vya habari vingeandika habari yake
  3. S

    Jiamini na sema ninaweza, usiruhusu maneno ya kukatisha tamaa

    Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake, mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake. Mith 18:20-21 Kile utakachokitamka ndicho kitatokea kwako....Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo (ndivyo atakavyokuwa) Mith...
  4. S

    Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Ni wap nimesema hairuhusiwi??... Mgeni wa Jiji
  5. S

    Nimeachwa tena

    Tatizo sio mabinti wa siku, tatizo ni wewe mwenyewe...
  6. S

    Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Haishauriwi kuingi kwenye ndoa bila kufanya vipimo muhimu vya afya kama.... 1. Rubella hasa mwanamke (huchangia watoto kuzaliwa viziwi,vipofu) 2.Vinasaba 3.Thalassemia (kuna makundi ya damu mkioana mtazaa watoto wenye anemia) 4. Hali ya Afya ya Akili 5. Magonjwa ya kudumu 6. Magonjwa ya zinaa...
  7. S

    INAUZWA Wasiliana nami kwa mahitaji ya ramani

    hii ina apande mbili, na ina vipimo vya 14.8M x 8M...?? au upande mmoja ndio una vipimo hivyo?
  8. S

    Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    "But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi?".....😂😂😂😂 aisee kuna watu wanadharau...
  9. S

    Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    kama weweni Baba bora kwa watoto wako hiyo picha ita wa inspire sana watoto wako....kwamba hata wewe ulikuwaga mdogo, ukasoma,ukajitunza, ukafanya kazi kwa bidii na sasa wewe ni Baba bora kwao...noa watatamani kua kuwa kama wewe wakiwa wakubwa!!
  10. S

    Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Wewe elewa mume wake kafa kwa kubanwa kifua....!!
  11. S

    Msaada: Maana ya ndoto hii

    Japokuwa hujasema hali yako ya maisha kwa sasa ikoje...I mean unasoma, unafanya kazi, biashara na kipato chako kipoje, kuota upo shule wakati ulishamaliza shule siku nyingi maana yake ni "kurudishwa nyuma" kuwa kwenye foleni ambayo haufiki maana yake ni "kucheleweshwa" ukichukua maana ya kwanza...
  12. S

    Naombeni ushauri: Mama hataki kabisa kumsamehe Baba wala kumsaidia chochote

    Anyway, ugomvi wa Baba na Mama watoto hampaswi kuingilia....inahitajika busara sana coz bado huyo ni Baba yenu hata kama alikuwa wa hovyo namna gani...kuja kulala hapo nyumbani sio kosa, ila kwenda chumbani kwa Mama yenu hapo alikosea, huo umeshakuwa ni mzigo wenu watoto coz akitamka chochote...
  13. S

    Naombeni ushauri: Mama hataki kabisa kumsamehe Baba wala kumsaidia chochote

    Alipokuwa na kibunda aliondoka...sasa zimeisha amerudi....
  14. S

    Simu bora kwa laki 5 au 6

    Chukua Infinix Note 12 hutajutia... check specs zake hapa chini.. https://priceintanzania.com/infinix-note-12-2023
  15. S

    Majina ya Mods wa JF

    .....kumbe ndio maana mnataka kuwajua majina....
  16. S

    Tuliowahi kuwanga usiku wa manane tukutane hapa. Je, ulitumia ungo, fisi? Nini changamoto?

    Kingine....bwana Nyaru-sare inakuwaje mganga/mchawi anatoa dawa ya kuwa tajiri lkn yeye ni fukara?? kwa nini yeye au ndugu zake wasitumie hizo dawa?
  17. S

    Tuliowahi kuwanga usiku wa manane tukutane hapa. Je, ulitumia ungo, fisi? Nini changamoto?

    Nyaru-sare njoo ujibu hili tafadhali, coz hata mimi huwa najiuliza swali hili.
  18. S

    Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

    :oops::oops::oops::oops:
  19. S

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mkuu mashamba Handeni kwa sasa yanapatikana kwa sh.ngap kwa heka moja? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom