Search results

  1. G

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Sio kilamtu anajua kanuni za UVCCM na wengine ni vyama vingine. tafadhari toa kanuni inayotakiwa ili wana-JF waweze kuchangia.
  2. G

    Habari za kutisha gazeti la mtanzania kuhusu chadema

    Chombo kinachomilikiwa na RA unategemea kiandike nini juu ya CDM. Huhitaji hata kufikiria na ninakushauri usiangalie hat hrading tu maana kwa ustahimilivu nmdogo ulionao unaweza kufa na pressure.
  3. G

    Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

    Matola Magazeti yote uliyotaja hayawezi kuandika maovu yaliyofanywa na viongozi wa serikali kwa sababu yana mkono wa serikali na mengine kuna mikono ya mafisadi ambao tayari wameishikilia serikali. Kama hujuwi basi nyamaza usilete u-mbumbumbu na utoto wako hapa.
  4. G

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Jina lako (Jeykey=JK) linafanana na mawazo yako. Usitutishia kuona damu, ni vitu vya kawaida kwa mtaka haki.
  5. G

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Kichwa chako kimejaa maji tupu. Tangu wamekuja wawekezaji tumefaidika na nini zaidi ya ufisadi na ugawaji wa pesa za walipakodi kwa elephant projects. Amani bila demokrasia ya kweli ni kubaki utumwani katika kipindi tofauti. Hapo bado utaelewa tu maana yake.
  6. G

    Tamko la raisi juu ya yale ya Arusha ni lipi?

    Yuko busy. Mchumi asiyejua uchumi. Hata Degree ya uchumi aliyopata haikumsaidia, mbali ya hapo jamaa inaonekana hata washauiri wake ameteua wa kufanana naye.
  7. G

    Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

    Ukitaka haki lazima uigharamie. Kama wanaua lazima wauwawe pia.
  8. G

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Hili ni zuzu kweli. Nchi ikiwa na asilimia kubwa ya watu kama hawa haifiki mbali. Hawa ndio wanaoshangilia kwa sura za watu wala si mawazo mazuri na hoja zinazotolewa na wahusika. Nafikiri wewe mwenyewe hujuwi hata haki zako. Mungu akuongezee ujinga zaidi- Amen
Back
Top Bottom