Search results

  1. L

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Historia inaonyesha wamisionary wengi walianza kueneza dini mikoa ya kaskazini mwa Tanzania. Pamoja na kueneza dini pia walijenga shule na kutoa elimu kwa watu wa maeneo hayo. Ukifatilia vizuri utaona kila penye kanisa pembeni yake kuna shule. Wachaga walinufaika...
  2. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    kwa hiyo ambao hawakuchaguliwa si watanzania? Nimeuliza kuhusu vigezo vilivyotumika kuchagua shule 24 tu. Utatusaidia zaidi kama utalijibu hilo manake inaonekana unawajua vizuri
  3. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    Kwenye thread yangu nimeongelea wingi wa shule zinazopatikana kilimanjaro, kaa ukijua pamoja na shule nyingi kuwa kilimanjaro bado haimaanishi kwamba ni wachagga na wapare tu wanaosoma hizo shule. Zina mchanganyiko wa wanafunzi from all over the country. Hili la ukanda linakuhusu wewe.
  4. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    Kupata idadi ya shule na location zake ingia Tanedu - Home JKT ni jambo zuri sana kwa vijana wetu wanaohitimu shule za secondary. Kuna mambo mengi wanajifunza huko ikiwepo nidhamu, ukakamavu, etc etc... Kama isingekuwa jambo zuri basi hapakuwa na haja yakurudisha mfumo huu wa vijana kwenda JKT...
  5. L

    JKT na ubaguzi: Shule 24 kutoa wanafunzi kujiunga JKT mwaka huu

    JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetaja shule 24 za sekondari ambazo zitatoa wanafunzi 5,000 waliomaliza kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Mahuga alisema katika taarifa yake jana kuwa wanafunzi hao watatakiwa kujiunga na jeshi hilo ifikapo Machi 2...
  6. L

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    3. NCCR-Mageuzi ni Chama na kipimo cha demokrasia kwa vitendo. Ni Chama ambacho hakina mtu mmoja tu kwa ajili ya nafasi ya za uongozi, yeyote ana nafasi ya kugombea nafasi anayotaka na mkutano mkuu wa Chama ndio uamue nani anafaa kuwa mgombea urais. Mfano, Mwaka 1995 Chama kilimsimamisha ndugu...
  7. L

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    huyu kisandu ni oil chafu
  8. L

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    taarifa kutoka kwa mtonyaji anasema sensa ilikuwa na kipengele cha dini ila kilikuwa kimefichwa. Naskia matokeo ni kwamba waislam ndio wengi, hasa wale wa suruali fupi
  9. L

    Facts juu ya uongozi wa CHADEMA vyuo vikuu; kusema uongo ni kazi wanayoiweza...

    Tupe vigezo ulivyotumia kutambua dini za hawa viongozi. Udini utakuua ndugu yangu.
  10. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Wale walioipa hii treni miezi 2 mpaka 3 iwe imekufa huenda dua zao zikajibiwa manake kwa mwendo huu mapato ni zero, watu wanakusanyia mifukoni mwao. Kesho utaambiwa shirika halina pesa ya kufanya ukarabati kwenye treni, au shirika limeshindwa kujiendesha.
  11. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Hizi hujuma ni kama uongozi wa TRL wamezifumbia macho. haiwezakani treni inapakia abiria bila kuwa na ticket, au angalau mtu maalum mwenye uniform na kitambulisho anaechukua nauli. Kwa mwenendo huo hata kibaka anaweza kukusanya nauli kwenye hii treni. Kama hawana watu wakufanya hiyo kazi basi...
  12. L

    Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Posted: 6th November 2012 by MillardAyo in News . millardayo.com imetumiwa hii ripoti kuhusu hujuma zilizoanza kufanywa kwenye moja kati ya treni maarufu kama treni ya Mwakyembe inayosafirisha abiria kati ya Ubungo na Posta Dar es salaam. Taarifa yenyewe inasema “Tumepandia mabibo mwisho...
  13. L

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    hata sadam hussein na Osama walikuwa na mikwara kama hii, sembuse hichi kiponda!!
  14. L

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Naskia jamaa wa sensa wameshawahesabu fasta fasta hapo hapo walipokusanyika
  15. L

    Muswada Sheria ya Fedha wazua mvutano bungeni.

    MUSWADA wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2012 jana ulizua mvutano bungeni kati ya Serikali na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi na kusababisha Spika wa Bunge, Anne Makinda kuliahirisha Bunge kwa dakika 10 kuanzia saa 10:00.Spika alifanya hivyo kutokana na mwasilishaji wa muswada huo...
  16. L

    Wema Sepetu ashiriki Big Brother Africa?

    Hizi ni tweets za mwanzo baada ya Mshindi wa BBA 2012 kutangazwa kuwa ni Kiegan wa South Africa. . . .
  17. L

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    karibuni mtoe maoni yenu wanajamvi
  18. L

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe amesema huduma za treni Dar es salaam kwa kuanzia zitakua kutoka stesheni ya reli Dar es salaam hadi Ubungo maziwa ikiwa ni kilomita 12 pamoja na Mwakanga hadi Kurasini kupitia stesheni ya Dar es salaam kilomita 34.5. Amesema “kazi ya ukarabati wa njia...
  19. L

    Zitto awazindua Wasanii: 153 wameshasaini kuvunja mkataba

    Well said. Wasijekuwa wamekurupuka kuvunja mkataba na makampuni ya simu bila kuzingatia legal issues zinawabanaje kwenye huo mkataba wa kinyonyaji. Kuingia mkataba ni kitu kimoja na kuvunja mkataba ni kitu kingine, one party must suffer the consequences of breaching the contract, in our case...
Back
Top Bottom