Search results

  1. M

    MkikiMkiki: Uliza swali lako mdahalo wa vyama vya siasa kuhusu uchumi

    Naitwa MATHIAS ELIAS nipo maswa nauliza kwa hao washiriki:"purchasing power" ya shilingi yetu ikoje kwa sasa ukilinganisha na mwaka 2005. KAMA ni ndogo (imeshuka) sababu ni nini.? Utafanyaje kuboresha hali hiyo?
  2. M

    Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

    muwapige tu!
  3. M

    Dhana ya bunge kushauri na kusimamia serikali inakinzana

    Kaka umechambua vema sana! lakini kwa katiba ya sasa nafikiri ni halali kwa wabunge na spika wao pamoja na jaji mkuu kunyenyekea mhimili wa dola kwa sababu uko juu ya mihimili mingine! Kwa katiba hii ya hovyo Rais anaweza kuvunja bunge! Rais anamteua jaji Mkuu, Anaweza hata kumfukuza kazi, kwa...
  4. M

    Wise Quotes by Mwalimu Nyerere: And not so Wise by Others...

    "Ukifanya fujo umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine....na mimi nasema muwapige tu kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa"-M.K.P. Pinda, june 2013.
  5. M

    Kifo cha CCM kimetimia

    tegemea vurugu zaidi zitakazosababishwa na kung'ang'ania kutawala! Aidha Dalili nyingine ya angiuko ni kutosikiliza lolote linalo tahadharisha, ni kupuuza, kukejeli, kutisha kila anayetahadharisha lolote!
  6. M

    Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    mwigulu, CCM, Wote wamepoteza mwelekeo!
  7. M

    Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

    Umepumua sasa! Basi tulia! Elewa kwamba, Wengi tunatambua kwamba hao uliowataja ni baadhi tu ya wawakililishi wa watanzania wanao inyima usingizi serikali hii dhaifu , Haiwapendi, haiwataki, lakini haina namna. Makinda hawataki, hawapendi lakini hana namna! wewe hauwapendi, hauwataki, lakini...
  8. M

    Shonza amwomba radhi Rais Kikwete, asema alikuwa anatumiwa na CHADEMA kumtukana

    "mtu akikushauri jambo la kijinga na wewe unajua ni la kijinga halafu ukakubali, anakudharau"-jkn
  9. M

    MwanaHALISI: Big lie or slip of the tongue? - Saed Kubenea

    Seleman Semunyu wa ITV, Hebu mwalike Rais ktk kipindi chako unacho kiita dakika 45 umwambie atoe ufafanuzi kuhusu kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi maana inaonekana mkuu amepasua kichwa badala ya goti! Kwamba walioandika habari zinazosemwa ni za kulitaka jeshi kuasi ni mwanahalisi kweli Au...
  10. M

    Hotuba ya rais KIKWETE 31.01.2013 imebeba ujumbe gani kwa watz!!?

    ndugu wananchi mtakumbuka kuwa hivi karibuni nilifanya ziara ya kikazi nchini ufaransa na baadae sweden kabla ya kurudi Ethiopia na natarajia kuendelea na safari zangu kama nilivyowahi kushauriwa na dokta mwenzangu...
  11. M

    Jahazi lazama Nungwi, Zanzibar leo

    "ya makanisa" thread hii siyo mahali pake. Kuwa informative!
  12. M

    Serikali isitumie akili ndogo kutatua matatizo ya wananchi

    Naweza kusema kuwa viongozi (kama kweli ni viongozi) wamegeuka wakoloni wetu, wanaiba, hawataki uhoji, mkikusanyika kudai haki zenu jeshi linatumika! Nashukuru mapambano ya uhuru yanaendelea sehem mbalimbali nchini, mtwara,morogoro,mwanza nk.TUNAWEZA KUJIkomboa, tukawa huru toka kwao!
  13. M

    Hii ni aibu kwa serikali ya JK

    "sasa wakati umefika wa kucheza ngoma ya ng'wanamalundi"
  14. M

    WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira wahukumiwa kifo!

    Inawapa fursa ya kujirekebisha baada ya kutumikia hukumu yao? Na Hukumu ikishatekelezwa na baadae ikabaanika kuwa imetolewa ki makosa kwamba hawakustahili adhabu hiyo,tunaweza kuwapata tena? je,haki itakuwa haki? TUJIULIZE HALAFU TUJIJIBU WENYEWE!!
  15. M

    Hongera Rais Kikwete kwa Uongozi Shupavu!

    Kwani alihahidi hayo kumi pekee? Vipi hali halisi ya maisha ya watanzania walio wengi? Inapaa kama uchumi anavyoupaisha kwenye makaratasi? ni shupavu?
  16. M

    Kwa mara ya kwanza wanachuo udom watarajia kuadhimisha miaka 51 ya uhuru.....

    Nasubiri, NIIJUE maana ya "Elimu bora"!!
  17. M

    Nyerere ana maneno huyo

    Hizo ni dalili za serikali iliyoshindwa. Kubadili tena baraza la mawaziri imeshindikana, anaona hakuna jipya! Sasa MBINU MPYA ni Kutumia viongozi wa chama, Mawaziri na mkuu wao Pinda BUREEEE! Ni serikali ya mfamaji.. Zomeazomea iendeleee tu. HAKUNA njia ya kuwaondoa akina Jeyikeyi kwa sasa...
  18. M

    hongera KINANA..HII NDO CCM TULIYOKUWA TUNAITAKA

    Machoni kama watu!!!!!!!!!!!!
  19. M

    Philip Mangula: Wale wote walioshinda kwa Rushwa watashughulikiwa ndani ya Miezi 6 kuanzia sasa

    AKIMFUKUZA mwenyekiti wake, ataweza kurudisha CCM enzi za Mwalimu, CCM ya wanyonge. Vinginevyo hii ni season two, baada ila ya "kujivua gamba". Kip on watching!!!!
Back
Top Bottom