Search results

  1. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 [Tetesi] CCM Arusha yalazimisha kongamano la dini kusimama kupisha kampeni

    tatizo ccm hawajiamini wenzao walijiamini na wakafanikiwa kwa 100% ijapokuwa siku iyo palikuwa na ARUSHA FESTIVAL NA PALIKUWA NA MPIRA WA SIMBA NA AFC ila chadema walijiamini katika sera zao ila ccm wao wanalala wakijiuliza tunapata wapi watu kama vile hawajawai fanya jambo lolote katika nchi...
  2. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

    ITV na tv zingine ni sawa na mbingu na ardhi havifanani kabisa iyo ni SUPER BRAND EAST AFRICA hawakujipa bali kazi yao ndo imefanya wakawa hapo walipo
  3. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Ukitaka kujua ugumu wa maisha rejea mwaka 2015 mwezi wa kumi bei za vitu muhimu katika maisha yako ya kila siku kisha weka mshahara wa wakati huo kisha rejea mwaka huu 2020 niambie mshahara ule ule ila gharama za maisha vimepanda je upo tayari kumchagua kuendelea na magu ama kumbadili?
  4. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Haswa sehemu ya kuongeza mishahara amegusa sehemu kubwa ya mioyo ya Watanzania kwani tumekaa miaka mitano bila nyongeza ya mishahara.
  5. SOKON 1

    Pongezi kwa ITV, wamejitahidi kuonesha Habari za Upinzani

    kilichotokea jana ni salamu kwa vyombo vingine vya habari kama wakiendelea na ujinga wa tbccm
  6. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    sasa kama mtu kaja anakupangia maneno ya kusikiliza na maneno ya kuongea anafaida gani kuwa naye ni bora akaondoka
  7. SOKON 1

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    chadema leo wamesema hawazindui ilani yao ya uchaguzi kwa kuwaeleza watanzania watawafanyia nini kisha wakaamua kuiweka kando kwanza na kuwaeleza watanzania kuhakikisha kila kata kila jimbo bara na visiwani kuna wabunge wa vyama vyote na kuna madiwani wa vyama vyote pasipo kuenguliwa mtu na...
  8. SOKON 1

    Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Dunia kwa sasa macho yao yapo Tanzania kwa kila kinachoendelea kuhusu free and fair election ni wajibu wetu kuionesha dunia kila aliyeshinda ameshinda kwa haki ila kinachoendelea majimboni baada ya vyama vya upinzani wabunge na madiwani wake kuambiwa wanaandamana na kukamatwa kisa kwenda...
  9. SOKON 1

    Siku Mwigulu atakapoongoka na kutubu

    Ndo hay Ndo hayupo sasa
  10. SOKON 1

    Singida: Kiwanda cha Alizeti Mount Meru Millers Ltd kimefungiwa

    Ndio maana wanauwa elimu yetu kuongoza vilaza
  11. SOKON 1

    Operation ng'oa Magufuli inakuja

    Tukutane 26/4/2018
Back
Top Bottom