nashukuru watanzania wachambuzi mpaka wanashindwa kuwa na ukomo wa upembuzi,ivi kupitia law school unaona is a Joke?kama kati ya candidates 300 wanafaulu 25-35 huoni kama ni kama ilivyokuwa awali kuwa wanaapishwa mawakili 20-40 kwa intake moja ya CLE.Mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa legal...
kwa ufahamu wangu kampuni ili ifikiye vigezo vya kuuzwa lazima kuwe na maamuzi ya body ya directors ambayo itahalalisha kuuzwa kwa kampuni husika,miongoni mwa mambo yanayotakiwa kuwekwa sawa ni kuangalia maslahi ya wafanyakazi na kampuni kwa ujumla ikiwamo na kulipa madeni ya kampuni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.