Search results

  1. N

    Umaskini bado unaendelea kuitesa mikoa pendwa ya Mwanza na Geita

    Mimi sio Mchaga ila nimetemebe mikoa karibu yote ya Tz nakiri sijawahi kuona vijiji vilivyo endelea km Kilmanjaro kuanzia umeme, maji Safi, barabara, shule nk ni ni nadra kuona nyumba ya Nyasi/tope Kilmanjaro, migombani unaweza kukuta vitofa vya maana mno Kongole sana kwao
  2. N

    Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

    Singidani itabaki kuwa juu vuna magunia yako 5 ya mahindi ambayo yanakuwa sawa na gunia 1 la vitunguu vya Singida vyenye viwango vya dunia!
  3. N

    Sheikh Khalifa Khamis alalamika Waislam kuminywa na Serikali Kuu, TRA na Vyombo vya Dola

    Wakati wa Nyerere walisema anawapendelea wakatoliki ikabidi afanye uchunguzi kwn baraza la mawaziri akakuta baraza la mawaziri wapo wakatoliki 2 tu George Kahama ambaye alikuwa mkatoliki ila alikuwa ana wake 2 kinyume na imani ya kikristo kuwa na mke mmoja
  4. N

    Tanzia: Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

    Mm simfahamu kihivyo ila alikuwa anapenda sana kuja Meridian bar na alikuwa anakaa hadi usiku mnene sikuwahi ona anazinguana na mtu yyte
  5. N

    Tanzia: Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

    Wanasiasa nao wanatakiwa wawe na degree kwani wengi wao ni shida
  6. N

    Tanzia: Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

    Mashali alikuwa m2 poa sana mm nilikuwa nakutana nae sana maeneo ya Meridian M'nyamala na kama humjui ilikuwa sio rahisi kuja km ni boxer hakuwa na ubabe jinsi watu wanavyoelezea
  7. N

    Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

    Wasenge hao Singidani na Kindai zinaufanya mji wa Sgd kuwa na muonekano/mvuto wa kipekee bila kujali ni ziwa, Bwawa au kidimbwi Tena wa Shy na Kahama mshukuru mradi wa wa maji toka ziwa Victoria coz huko kwenu ukame umetamalaki Sgd municipal maji kukatika ni ndoto, maji ni mwanzo wa mwaka hadi...
  8. N

    Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

    Pimbi ww mnadharau sana utafikiri kwn km ulaya Bk yenyewe juzi tumeona nyumba zilivyochoka ambazo kwa Sgd Manispaa huwezi zikuta, haya mtajie mshikaji jengo lenye lift shy akapande, na wanaosema Sgd Kuna vumbi nadhani hawajawahi kwenda Geita
  9. N

    Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

    Hongera sana Mh Kigamboni ndio New Dar es Salaam ilipo mm nina site Mwasonga najipanga taratibu nianze ujenzi
  10. N

    Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

    Tulia wewe km jiji la Mbeya limezindua lift mwaka jana sembuse Sgd, Kanda ya ziwa yote mkoa wenye lift ni Mwanza peke yake
  11. N

    Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

    Ilipokuwa Legho sasa hivi kinashushwa kitu cha gorofa sita kinakamilika mwezi wa 6mwakani, na tutazindua lifti ya kwanza
  12. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Kunakabila siwezi kulisema hapa wao wanakambi kabisa mwananyamala na tandika hao ndio warahisi
  13. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Ni kweli kabisa umetoa tathmini nzuri sana na vitu vinavyoikwamisha Sgd ni natural futures km upungufu wa mvua na ukame wa mara kwa mara vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa Binadamu, ni kama miaka michache iliyopita watu walivyokuwa wanaacha kazi wakipangwa mikoa ya kusini hadi neema ya gesi...
  14. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Miji yote hiyo yote nimeenda hivi unaposema Sgd padogo umelinganisha na nini? Nyie ndio mliokaririshwa tafuta muda kaa Sgd hata siku 2 tembea then uje kutoa tathmini yako nimezunguka mikoa krb yote Sgd inakuja juu sana tena mji unaokua kwa mpangilio no squirter
  15. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Pimbi wewe Kahama kamji unachotembea kwa miguu dk 45 umekamaliza ndio ulinganishe na Sgd? SGD municipal ni habari nyingine mmkealia story za miaka ya 60, Eti Geita nayo unaizidi Sgd mji ambao Daladala ni Baiskeli nimetemebea nimeona tena acheni uzushi wenu
  16. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Hivi Tabora siku hizi Kuna Daladala coz niliienda mwk 2012 hazikuwepo zaidi ya Baiskeli Sgd Daladala kitambo sana
  17. N

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Kahama labda uishindanishe na wilaya ya Manyoni, tena usilinganisha Singidani na vitu vya kijinga
Back
Top Bottom