Search results

  1. R

    Hivi akuna anaeweza kuongoza vyama vya upinzani zaidi ya mchaga?

    Mimi ni mpare. Nakubaliana na wewe...!
  2. R

    Hali za hospitali zetu

    Hospitali ya Mkoa Iringa imesimamisha huduma za kawaida kwani serikali (hazina) haijapeleka fedha MSD za kutosha kwa miezi mitatu mfululizo. Hospitali ilikuwa inapokea kiasi cha mil 33 kwa mwezi kwa ajili ya madawa , lakini tangu Sept 2011 imepeleka mil 28 tu. Hospitali imeshindwa kujiendesha...
  3. R

    Polisi wazuia mdahalo wa Katiba Iringa

    Hivi katiba ya sasa unaijua..? Huhitaji ruhusa ya mtu yeyote kuwa au kutoa maoni yako..? Hata kufikiri huhitaji ruhusa ya mtu..? Sasa unataka hao wananchi wasubiri ruhusa ya mtu mwingine ndio waanze kufikiri...! Anaglia sana usomi wako...??!!!
  4. R

    Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini!

    And he bearly mentioned it. He humbled his title to mere 'mwalimu.' Rest in piece...!
  5. R

    Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

    Ilani ya CCM 2005 ilisema ' CCM ikichaguliwa italipatia ufumbuzi swala mahakama ya kadhi'
  6. R

    Hivi kituko gani unakikumbuka ulikifanya wakati mdogo

    Aloo...! That was really frightening. Nadhani hiyo resi iliyotoka ingemtoa roho dingi.
  7. R

    Hivi kituko gani unakikumbuka ulikifanya wakati mdogo

    Nadhani ilikuwa "VICKS VAPORUB". But that was really funny. You made my day...!
  8. R

    Ukitaka kujua raha ya sex

    Hiyo ya mlinzi iko poa....!
  9. R

    Answering (or trying to) the Religion Question in Tanzania

    Mkuu hii discussion ni nzuri. Mara nyingi psychology ya discrimination ni ngumu kuielezea. Mwalimu Nyerere alifaulu kwa kiasi kikubwa kuielezea. Mfano aliposema ukiwa na meatality ya kibaguzi huwa hutosheki na ubaguzi wako. Utaendelea kubagua bila mwisho. (Issue ya Wazanzibari na Wazanzibari)...
  10. R

    Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki?

    Well unaweza sema hivyo kwa sababu hayajakukuta. I am speaking from experience. Siku yakikukuta utaikumbuka hii response.
  11. R

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    1. 1. Tunahitaji maoni ya Obstetrics and Gynaecologists. Sijui kama wapo tayari kutoa maoni. 2. 2. Je hizi pikipiki zimefanyiwa pilot study hapa Tanzania kabla ya kuagizwa..?
  12. R

    Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki?

    Issue ya huduma za hospitali Tanzania ni scandal. Nashangaa watu hawajaishtukia kiukweli. Ukiugua siku hizi ni very risky kwa sababu hakuna uhakika wa kupata tiba sahihi hata kama una hela za kuhonga watoa huduma. Watoa huduma ni wachache na wengi wao ujuzi wao unatia mashaka na utendaji wao...
  13. R

    Imeniuma nikishuhudia mjukuu wangu akikata roho

    This makes a very sad story..! Ploleni kwa kuondokewa na mpenwa wenu. Matukio kama hiya yanatokea to many though unreported. Ni muhimu kufuatilia ili kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa. Eneo moja la maboresho ambalo halijachukuliwa umuhimu wake ni lile la customer au patient care. Haitoshi...
  14. R

    Serikali yaagiza Pikipiki 400 maalum za Wagingwa

    Kuna mambo matatu muhimu ambayo yalipashwa kufanyiwa tathmini kabla ya hii decision ya kununua bajaji kwa waja wazito "ili kupunguza vifo vya akina mama na watoo. 1. Wakina mama na watoto wengi wanaopoteza maisha wakati wa kujifungua hutokea kwa wale ambao wameshaamua kujifungulia kwa...
  15. R

    Short Jokes

    Fantastic
  16. R

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Story yako umeitoa mwenyewe lakini inakosa scientific evidence ya matukio hayo ili iweze kujadiliwa kisayansi. Pamoja na hayo mapungufu ya msingi story kama hizi zinaweza kuwa ni isolated cases. Na hizi ziko katika science. Effectiveness au decisions katika tiba huwa zinabase on mean values. Sio...
  17. R

    Have we forgotten illegal sales of houses by Magufuli?

    Serikali ilianza na uamuzi wa kutokumiliki tena nyumba kwa watumishi wake. The same decision imefanyilka South africa, Zimabwe na Zambia na Namibia. Nyumba za serikali zilizokuwepo zilitakiwa ziuzwe, either kwa soko au kuwapa priority waliokuwa ndani ya nyumba hizo. Wako waliokuwa ndani ya...
  18. R

    Hivi vyote hana, JK aliupataje Urais?

    Usisahau udini. Wako watu wengi ambao wanaamini kuwa yote yanayompata Kikwete kutopendwa ni kutokana na dini yake. Kwa hali hiyo waislam wengi wakiongozwa na maneno na hoja za viongozi wao walikuwa nyuma ya nguvu ya kiislam kumtetea Kikwete. Wakumbuke kuwa hata Mkapa alipofanya madudu aliandamwa...
  19. R

    Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani

    Namuhurumia Spika Maklinda kwa jazba zake. Na kwa staili hii ambayo ni hulka yake atajakosea tena. Tusubiri. Lakini hapa bado kiu yangu haijaisha. Pinda kuomba msamaha haitoshi kwani hoja bado mbichi. Lema aliomba mwongozo kwa spika "Mbunge achukue hatua gani ikiwa kiongozi mkubwa kama Waziri...
  20. R

    Kikwete ajisafisha Dowans

    yaani hapo ndipo nashindwa kuelewa, scoring points ziko kibao. Kwa kuweka wazi hizo clips ni kuvuta carpet kutoka miguu ya kikwete. Vipi waandishi tusaidieni jamani...!!! [/i][/color]
Back
Top Bottom