Search results

  1. drmkumba

    Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

    Bus la timu ya Yanga lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali(limepinduka)eneo la Mikese leo saa tatu na nusu asubuhi.Yanga walikuwa wakirudi Dar toka Moro walikocheza mechi ya ligi kuu ya Vodacom hapo jana dhidi ya Mtibwa kwenye uwanja wa...
  2. drmkumba

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu sheikh ponda

    Wanachoamini watawala ni kwamba Watanzania wameumbwa kusahau! Kwa hiyo kila linalotokea hata likiwa zito kiasi gani litakaa kwa muda mfupi then litapita kama upepo!!
  3. drmkumba

    Ni Kweli Sheikh Ponda Ndio Suspsect Wa Waliomwagiwa Tindi Kali Zanzibar?.

    Polisi wa serikali sikivu inabidi wajitathimini utendaji wa kazi yao.Matumizi ya mabavu,kushindwa kuwapata watuhumiwa wa matukio yanayotishia usalama wa nchi,kukithiri kwa madawa ya kulevya nk kutaipeleka nchi pabaya.Vinginevyo haya yanayotokea yana maslai kwao!
  4. drmkumba

    Kinana atumia dk zaidi ya 45 kuiongelea CHADEMA

    Hii inaonyesha ni kwajinsi gani CDM imewashika pabaya magamba!
  5. drmkumba

    Umoja wa wenyeviti wa vitongoji wilaya Hai watangaza kutoshiriki sensa.

    Wananchi wengine huku kwetu wamesema watahesabiwa pindi tu watakapolipwa posho!
  6. drmkumba

    Walimu wasusa kusahisha mitihani ya mock kanda ya mashariki.

    Katika kile kinachoonekana kutokurudi nyuma katika kupigania haki zao,walimu ambao waliitwa kusahisha mitihani ya mock kidato cha sita kanda ya mashariki ikijumuisha mikoa ya Morogoro na Pwani wiki iliyopita waligoma katakata kufanya zoezi hilo pale Ruvu sec. Kwa mujibu wa mmoja wa walimu hao...
  7. drmkumba

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Achani Mungu aitwe Mungu!
  8. drmkumba

    ifike wakati sheria iseme watoto wote wa viongozi wasome shule za umma na watibiwe hospitali zetu

    Business as usual! Very serious problems are normally given very simple answers by our leaders!
  9. drmkumba

    Wakuu wa shule acheni usaliti.

    Mark ni vema kabla ya kutoa comment ukajiridhisha katika kuisoma na kuielewa threid.Ni wapi niliposema eti wakuu wa shule wasiende shuleni? Wao kama wakuu wanalakusema kutetea maslai ya wao wenyewe na kada nzima.Hivi inakuingia akilini mkuu wa shule anapoojiwa na mwandishi atoe maoni yake kuhusu...
  10. drmkumba

    Wakuu wa shule acheni usaliti.

    Imeripotiwa na TBC1 katika kipindi cha DIRA kwamba mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameitisha mkutano na wakuu wa shule za msingi na sekondari ili kuwatuma wawashawishi walimu waliogoma warudi kazini.Baadhi ya wakuu wa shule walitoa maoni yao na kuonekana kuwashangaa walimu wenzao waliogoma! Eti wanagoma...
  11. drmkumba

    Jinsi ya kuchonga SMS kama ushahidi kwenye kesi mbali na kifaa anachosema Mabere Marando

    Kila wanalofanya,wanaumbuka!Hizi ni dalili za utawala unaolekea kuanguka!
  12. drmkumba

    Mwanasheria mkuu wa serikali wapi busara zako?

    Nimechoka sana na kauli iliyotolewa leo na mwanasheria mkuu wa serikali " eti kuwa na nywele sio kuwa na uwezo wa kufikiri".Kauli hii aliitoa leo bungeni pindi Mh.Tundu Lissu akiungwa mkono na Mh.Deo Filiponjombe na Mosesi Machali kutaka bunge lijadili kuhusu ajali ya meli ya Stargic.Baada ya...
  13. drmkumba

    Kizaa zaa Bungeni ktk Hotuba ya Kambi ya upinzani

    Uvumilivu wa kisiasa ndio pekee unaoweza kuliokoa taifa hili linaloelekea kuanza kuzama kwenye bahari ya machafuko.
  14. drmkumba

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    Siasa za bongo zinakoelekea sasa ni kubaya.Tulizoea kuona aina hizi za propaganda kipindi cha kampeni sasa ndio imekua taabu kwelikweli,kuchinjana,mipasho bungeni nk ni normal routine! Where are going men? Tushindane kwa hoja na sera za kusaidia walala hoi.
  15. drmkumba

    Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

    Chama Cha Mabwepandeeeeee!
  16. drmkumba

    CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

    Hivi siku itakapoanguka ccm jeshi la polisi mtaweka wapi sura zenu? Mnachofanya sio fair hata kidogo.
  17. drmkumba

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    Killing him is not a solution to the government to avoid criticism! Revolutionary ideas will stay there forever!
  18. drmkumba

    Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    Is caused due to our poor leaders who always give very simple answers to very complex issues! Such as LIWALO NA LIWE,WAENDE PRIVATE etc! Victims are local people!
  19. drmkumba

    mtihani kwa mnyika

    Mnyika ni mtu makini sana hawezi kosa uthibitisho wa hilo.
Back
Top Bottom